Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Tafiti za kidwanzi sana hizi,,,ndio maana asilimia kubwa ya wazungu wachafu,hawaogi na akioga agusi sabuni,,,
 
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga

Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili

Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?

Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali

Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Mkuu hata thermalregulation sio faida aser
 
Unaoga ili ugundue nini bunafusi naweza kata ata siku mbili sijaoga na nipo normal wala sinuki jasho , si kwamba naogopa maji la hasha style yangu ya kuoga ata kuwe na baridi vipi naweza oga bila kupasha maji, tangu utotoni kuoga kwangu ilikuwa sio kipaumbele
 
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga

Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili

Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?

Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali

Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Hii habari niliiona page ya ITV Facebook lakini sasa hivi haipo wameifuta
 
Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya
Ongetoa credit kwa chanzo cha habari basi! Ulichofanya ni kutafsiri!

There's no need to shower every day – here's why​

But while frequent washing of hands is key for stopping the spread of germs, according to most medics there is no inherent physical health benefit to the daily shower. In fact, it can even be bad for you by drying out your skin and undermining your immune system.

There's no need to shower every day – here's why
 
Maji ya baridi (kuoga) ni tiba katika therapeutic katika kukosa usingizi

Unashauriwa before you get to bed just take a shower (bathing)
 
Sijakuelewa uliyeleta hii mada, hoja ni kuto oga mara kadhaa au kuto oga kabisa. Nikupe task moja mbele yako kuna daladala la watu 30 ambao hawajaoga kabisa toka juzi na daladala la watu 30 waliooga leo asubuhi utapanda lipi na pua zako hizo?

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Usioge ovyo
Oga japo mara 3 kwa week
 
Watu wengi hudha kuwa kuoga ni takwa la kiafya kumbe sio kweli kuoga kuna madhara mengi kuliko kutokuoga

Utafiti uliofanywa na wanasayansi umethibitisha kuoga mara kwa mara huleta madhara kiafya kwasababu huondoa kinga muhimu kwenye ngozi na kusababisha maradhi katika mwili

Kama hakuna ulazima wa kuoga usijilazimishe kuoga, japo mtu oga walau mara 1 kwa siku ila utashangaa mtu anaoga zaidi ya mara 4 ili iweje?

Utashangaa mtu yupo sehemu za baridi kali kama Lushoto, Moshi, Makete au Njombe ati nae anaoga mara kadhaa kwa siku na anaona ufahali

Tujiepushe kuoga ovyo ili tulinde afya ya ngozi na mwili kwa ujumla
Hili andiko akiliona mtoto wangu ni balaa!
 
Back
Top Bottom