Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Kuna "kuoga" , halaf kuna "kuoga oga".
Nafikiri unazungumzia "kuoga oga" hii sio nzuribjapo inategemeana na ulipo mfano Dar hii inahusu sana kulingana na hakibya hewa ila "kuoga" ni lazima maana it is jn acvordance with a principle of hygiene
 
Aisee we jamaa mtu wa ajabu pilikapilika za kariakoo ukae wiki ukweli watu watakukimbia
nan kakuambia karikaoo watu wote wana pilika pilika? Wengine wanaenda kukusanya ushuru kama zakayo, wengine wanaenda kunywa kahawa kwenye vijwe
 
Kuna "kuoga" , halaf kuna "kuoga oga".
Nafikiri unazungumzia "kuoga oga" hii sio nzuribjapo inategemeana na ulipo mfano Dar hii inahusu sana kulingana na hakibya hewa ila "kuoga" ni lazima maana it is jn acvordance with a principle of hygiene
Nimekaa dar lakini nilikuwa sisumbuki kuoga ovyo
Kwani huko dar ndo kuna nini
 
Kama utafiti kafanya mzungu hao ndio zao hawaogi Kuna rafiki yangu mama yake alikua karibu sana na wazungu wakawa wanapenda hapo kwa rafiki yangu wanakaa Kama wiki au wiki mbili hawaogi wanatumia vutambaa kujifuta sehemu muhimu Basi rafiki yangu akawa anashangaa ndiyo akaja kutusimulia
 
Back
Top Bottom