Kuoga hakuna faida yoyote kiafya

Ndo maana nilivyokua mdogo naogeshwa nilikua mweupe ila tangu nianze kuoga mwenyewe nakaribia kufanana na Sadio Mane
 
Ukioga unapata madhara gani? Tuanzie hapo..... otherwise hakuna haja ya kujadili kila kitu.
 
Muangalie sana huko mnakokwenda kutafuta utajiri!
 
Zamani mtoto mwenzetu yaani mtoto wa jirani alikuwa mchafu haswa. Sasa akawa mrefu kutuzidi sisi ingawa nilimpiga gape 3yrs tukasema kumbe usipooga unarefuka haraka. Daaaaahh kumbe ni gene tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…