pisi jacky
Member
- Oct 21, 2020
- 32
- 141
Hapana nasomea usistaHaya pisi jacky.
Una mchumba lakini?
Mwili unanilazimisha nisipooga silali kabsa ntaamka ata ata sa Saba kutafuta majiEeeh! kukiwa na baridi huwa unaoga kweli?
Pisi kama pisi
Minimize shobo basi hebu soma kwanza kwa kuludia [emoji3525][emoji3525]Nyie ndio mnaonukaga K kama shombo ya Sangara..
Hapo kuoga tuu , siipatii picha hizo pichu zako zilivyokuwa chafu
Mwanamke mchafu simpendi kabisa .
Wewe ndio wa kuoa sasa maana hutadai hela za sabuniJamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.
Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Naoga mala mbili kwa siku sijasema siogi mkuu[emoji3166]Wewe ndio wa kuoa sasa maana hutadai hela za sabuni
Natamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mnoUsioge haudaiwi Wala Nini..[emoji41]
Nikiwa na lala nawewe utakuwa unaoga asubuh tuuNaoga mala mbili kwa siku sijasema siogi mkuu[emoji3166]
Ivi inawezekana kila mtu azunguke siku nzima afu usiku tulale kitanda kimoja bila kuoga [emoji848][emoji848][emoji848]Nikiwa na lala nawewe utakuwa unaoga asubuh tuu
Unapenda kuoga wewe hujijui tuMwili unanilazimisha nisipooga silali kabsa ntaamka ata ata sa Saba kutafuta maji
Ss unaumia nini si km hujiskii kuoga/hujachafuka si unaacha tu huogi esp km uko mikoa yenye baridi na labda unalala peke yakoNatamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mno
Kumbe unasomea usista huku una kazi yako mwenyewe!!? Dah! Hii ndiyo BongoNatamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mno
Dada unaamka asubui upande daladala ufike kazini ushinde weeee jion upitie sokoni umo mwote unapishana na watu mbali mbali ugombanie daladala uludi nyumban upike afu ulale bila kuoga my friend mwili hua unakataa kabisaa kulalaSs unaumia nini si km hujiskii kuoga/hujachafuka si unaacha tu huogi esp km uko mikoa yenye baridi na labda unalala peke yako