Kuoga mara mbili

Kuoga mara mbili

pisi jacky

Member
Joined
Oct 21, 2020
Posts
32
Reaction score
141
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
 
Tatizo Nini Mpaka Uchukie Maji
Changamoto Naiona Kwenye Hii Thread
Members Watakukumbuka Sana Neno Kwa Neno
Mmoja Ameanza Kuhusu, Mbele
 
Nyie ndio mnaonukaga K kama shombo ya Sangara..

Hapo kuoga tuu , siipatii picha hizo pichu zako zilivyokuwa chafu

Mwanamke mchafu simpendi kabisa .
Minimize shobo basi hebu soma kwanza kwa kuludia [emoji3525][emoji3525]
 
Jamani hamna kitu sipendi kama kuoga, ningezaliwa wa kiume walahi ningekua namaliza wiki bila kuoga yaani kila asubui napoingia bafuni roho inaniuma mno ila jinsia inanibana inanibd nioge.

Kinachoniuma zaidi usiku tena lazima nioge nikijitaidi kulala bila kuoga sa sita usingizi unakata mwili wote unawasha yaan jaman nisingekua mwanamke Maji yangekua yananiona kwa wiki mara moja.
Wewe ndio wa kuoa sasa maana hutadai hela za sabuni
 
Natamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mno
Ss unaumia nini si km hujiskii kuoga/hujachafuka si unaacha tu huogi esp km uko mikoa yenye baridi na labda unalala peke yako
 
Pisi kama pisi haipendi kuoga dah, jitahidi tu hivo hivo utazoea na utaona raha, maana unakua mwepesii kama umetua mzigo wa mijasho ya siku nzima.
 
Natamani Sasa asubui kazini lazima nioge nikiludi nimechoka ili nilale lazima tena nioge yaan roho inauma mno
Kumbe unasomea usista huku una kazi yako mwenyewe!!? Dah! Hii ndiyo Bongo
 
Ss unaumia nini si km hujiskii kuoga/hujachafuka si unaacha tu huogi esp km uko mikoa yenye baridi na labda unalala peke yako
Dada unaamka asubui upande daladala ufike kazini ushinde weeee jion upitie sokoni umo mwote unapishana na watu mbali mbali ugombanie daladala uludi nyumban upike afu ulale bila kuoga my friend mwili hua unakataa kabisaa kulala
 
Swala SI kuoga nafikiri miundombinu ya bafu si rafiki kwa namna moja au nyingine
 
Back
Top Bottom