Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kila nikisoma hizi thread za nini cha kufanya na kutokufanya ndani ya ndoa napata imani kuwa watu wengi wanacomplicate vitu simple sijui ndio mambo ya kutaka kuwa na perfect marriage.
Weekend njema.
so do i Mkuu, japo nakuacha kama ifuatavyo . weekend njema wajameniiii
karibuni basi, hahha
aliolewa akaachwa na ana watoto watatu ambao wako kwa baba yao so anajua anachokifanya kwamba yupo pale kufanya kazi plus huwa nampa weekends kwenda kujirusha ili atulize mtima wake.