Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kaoa chizi na anajisifia

uzuri ni kwamba anajua kuongea na kama yeye aliweza kumtongoza akampata bas hata wengine watampata tu
πŸ’πŸ’
 
Yaani mtu hazijatimia si utakuta kawapika watoto hebu tuwe serious kidogo. Kwani hakuna standard seven ambao wapo timamu
 
Reactions: G4N
Hongera sana Kaka kwa uamuzi wa kishujaaπŸ˜‚Kila la kheri.

Usiache kutupa viupdates vya hapa na pale.
 
Reactions: G4N
Watu wengi mnaoa kwa sababu za kipuuzi ndio maana nyuzi nyingi za kipuuzi kuhusu ndoa zimejaa humu ndani, watu kama nyinyi ndio mwisho wa siku mnakuja kuishia kuwapa vichwa watu wa Kataa Ndoa
 
Hamnazo wengi huwa wanaliwa na wajinga wajinga wengi sana halafu kibaya zaidi ni kimasihara sana yani πŸ€’πŸ˜Ž
 
Reactions: G4N
Mzee
Kusoma au kuto kusoma kwa mtu sio ndio kipimo Cha mtu kua na akili au upeo wa kimaisha

Na hata ukiangalia ndoa za wanawake wasomi nyingi hazija dumu ie. Case study unaweza kuanzia kwenye ukoo wenu hususani hata baba na mama yako samahani lakini😊😊
✌️✌️✌️
 
Hizi zama hatuziwezi sisi...
Kizazi hiki kina kasi mnoo...πŸ–οΈπŸ–οΈ
 
Reactions: G4N
makofi
 
Reactions: G4N
Hakikisha unamfungulia duka ndani, unamuwekea soko lake, fundi wake wa kumshonea nguo ili asikutane na walimwengu. Chazaid pia hakikisha umepiga ukuta home kwako.
 
Subiri mashoga zake wamfundishe kupiga vizinga na kutumia smartphone ( JF) ndio utajua hujui.

BTW,Kila la heri zako mkuu
Ukiona mwanamke anatumia jf, muoe ni wife material huyo.
Ni wanawake wachache sana wanaotumia huu mtandao
 
Huyo anahongwa vitenge na magauni tu anaachia papa
 
Mkuu;
1. Umesha oa au unaomba ushauri kwetu wanaJf?
2. Hii ni conditional : Kama umesha muoa; Jiandae kwa Tuition; Inakubidi uwe mvumilivu sana na kutoa darasa kwa upole wa hali ya juu ili uweze kumuinua kiwango chake cha uelewa walau afanane-fanane na aliyekwenda shule kidogo.
3. Inakubidi utambue na uzingatie kwamba Maisha ya kuishi na mke sio suala la eti anazaa sana. Maisha ya unyumba ni zaidi ya hilo la kuwa ni fertile kinyama.
Nakutakia maisha mema na yenye baraka ww na huyo shemeji letu.
 
Hayan formula, atleast you have tried your best
 
Reactions: G4N
Huyo ndio mke, achana na hawa wajuaji.
 
Reactions: G4N
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…