Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

Mkuu mtoa mada, nimeaoma comments nyingi naona wengi wanakuponda. Mkuu umeula narudia umeula. Huyo mwanamke kama zimepungua utatumia za kwako na ndio utakua kichwa cha familia haswa. Umetisha mkuu kuwakwepa hawa chikorobo wa kisasa. Wanaokuponda wanaukuonea wivu tu na wengine kutamani wengefanya maamuzi kama yako ila walishajikaanga, kila siku nyuzi JF
Yaani mtu hazijatimia si utakuta kawapika watoto hebu tuwe serious kidogo. Kwani hakuna standard seven ambao wapo timamu
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Hongera sana Kaka kwa uamuzi wa kishujaa😂Kila la kheri.

Usiache kutupa viupdates vya hapa na pale.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Watu wengi mnaoa kwa sababu za kipuuzi ndio maana nyuzi nyingi za kipuuzi kuhusu ndoa zimejaa humu ndani, watu kama nyinyi ndio mwisho wa siku mnakuja kuishia kuwapa vichwa watu wa Kataa Ndoa
 
Hamnazo wengi huwa wanaliwa na wajinga wajinga wengi sana halafu kibaya zaidi ni kimasihara sana yani 🤒😎
 
  • Mshangao
Reactions: G4N
Wanaume wengi wasiojiamini wanaogopa wanawake wasomi kwasababu wanaogopa kudhihirisha ujinga wao! Unakuta mwanaume anashinda bar, anacheza kamali kama mjinga, hafanyi mambo ya msingi hana cha kuchangia kwenye taifa, akioa msomi hatokubali kupelekeshwa na zombi ndani. Lazima patetereke. Oeni hao mazombi wenzenu ila nna swali moja, utaongozana nae katika shughuli za kijamii??! Utaenda nae kwa marafiki zako? Utataka wajue ndo mkeo? Una uhakika hutachepuka au ndo mnataka wa design hiyo ili hata ukilala nje ukirudi asema tawile baba. Shenzi
Mzee
Kusoma au kuto kusoma kwa mtu sio ndio kipimo Cha mtu kua na akili au upeo wa kimaisha

Na hata ukiangalia ndoa za wanawake wasomi nyingi hazija dumu ie. Case study unaweza kuanzia kwenye ukoo wenu hususani hata baba na mama yako samahani lakini😊😊
✌️✌️✌️
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Hizi zama hatuziwezi sisi...
Kizazi hiki kina kasi mnoo...🖐️🖐️
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
makofi :ClapHD:
 
Hakikisha unamfungulia duka ndani, unamuwekea soko lake, fundi wake wa kumshonea nguo ili asikutane na walimwengu. Chazaid pia hakikisha umepiga ukuta home kwako.
 
Subiri mashoga zake wamfundishe kupiga vizinga na kutumia smartphone ( JF) ndio utajua hujui.

BTW,Kila la heri zako mkuu
Ukiona mwanamke anatumia jf, muoe ni wife material huyo.
Ni wanawake wachache sana wanaotumia huu mtandao
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Huyo anahongwa vitenge na magauni tu anaachia papa
 
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Mkuu;
1. Umesha oa au unaomba ushauri kwetu wanaJf?
2. Hii ni conditional : Kama umesha muoa; Jiandae kwa Tuition; Inakubidi uwe mvumilivu sana na kutoa darasa kwa upole wa hali ya juu ili uweze kumuinua kiwango chake cha uelewa walau afanane-fanane na aliyekwenda shule kidogo.
3. Inakubidi utambue na uzingatie kwamba Maisha ya kuishi na mke sio suala la eti anazaa sana. Maisha ya unyumba ni zaidi ya hilo la kuwa ni fertile kinyama.
Nakutakia maisha mema na yenye baraka ww na huyo shemeji letu.
 
Hayan formula, atleast you have tried your best
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Nimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Huyo ndio mke, achana na hawa wajuaji.
 
  • Thanks
Reactions: G4N
Back
Top Bottom