spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Hujatumia Lugha nzuri mkuu sio freshiNani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?
Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako ππ βumesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimiaβ
Kumradhi mkuu. π£Hujatumia Lugha nzuri mkuu sio freshi
Ahahahah πππVijana kama wewe ni wakufungiwa jiwe shingoni mtoswe baharini..BLAD FAKEN
Wa darasa la pili ana fit hapo kwenye maelezo yako? Kwamba ataendana na kasi ya malezi ya mjini? Kwamba mtoto wake aje na utashi wa smartphone, mama mtu ataweza kungβamua? Kwamba mtoto ametoka shule na homework na anahitaji amsaidie, baba atarudi kutoka kazini amfundishe mtoto? Wanaume mna kazi kubwa nawaambia. Mmekua kama mapunguani baadhi yenu: inferiorKosa kubwa linalofanywa na wanandoa wengi ni kufikiria jamii itasemaje juu ya mwenza wake ama kumchagua mwenza kwasabb ni photogenic atavutia nikimpost.
Mnapaswa kuangalia uwezo wa mtu kkt kutimiza roles za mke na mume, siyo kuifurahisha jamii.
Oyaa we jamaa korofi sana.Darasa la 2 umekosea mkuu,huyo ana elimu ya kutosha,
Ungeoa wa darasa la Kwanza.
Kumradhi, Hivi mtu asiposoma anakuwa hana akili?Nani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?
Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako ππ βumesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimiaβ
Unastahili medali ya dhahabu,,,naunga mkono hojaHuu ndio Ukweli Mkuu.
Yaani Ukitaka kuwa Mume kweli na uwe na Sauti ni lazima Umzidi kila kitu Mkeo
Halafu Mwanamke hajaumbwa kutafuta riziki kwa kutafuta chakula, makazi na mavazi, hayo yanampasa Mwanaume
Mwanamke anapaswa kukupa mapenzi, kukupikia ushibe na kuangalia watoto wako BASI
Akianza kufanya majukumu yako hapo Ndoa inakuwa hatiani anakuwa na kiburi na huo ndio UKAFIRI HALISI.
Kwahiyo tuliozaliwa na wazazi ambao hawajasoma ni zero brain? Aisee watu mnawaza kwa kutumia nini? Na nyie ndio aina ya wasomi tulionao kama taifa duh.Watoto huwa wanarithi IQ za mama zao.Sasa huyo mwenzetu amejichanganya sana maana shuleni watoto wake watazungusha Sana miduaraπ
πππNimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
πππ mwehu weeHao utapigwa na wauza genge. Huwa wanakuaga na upepo nao sana
Tatizo mnapeleka watoto kwenye Inglish (siyo English) medium schools. Ambako homework anapaswa kufanya mzazi na mtoto.Kwamba mtoto ametoka shule na homework na anahitaji amsaidie, baba atarudi kutoka kazini amfundishe mtoto?
Kama wewe ndo baba unaetegemea kulea familia bado una kazi kubwa sana. Very low thinking capacity. Yani kisa nalipa ada ndo nisijue mwanangu anasoma nini shule? Nta interact nae vipi sasa? Kwenye ndoa tatizo kubwa ni mentality ya baba ikikinzana na mapokeo ya mama moto lazima uwake.Tatizo mnapeleka watoto kwenye Inglish (siyo English) medium schools. Ambako homework anapaswa kufanya mzazi na mtoto.
Wenzako tunapeleka mtoto kwenye international Schools, tukifeli sana tunawapeleka English (siyo Inglish) medium schools, ambako kila kitu kinafanywa na mwalimu. Mzazi kazi yake kulipa ada tu.
N.B. Inglish (siyo English) medium schools ni vishule vinavyoanzishwa na waganga njaa. Hawa wanaajili walimu 3 shule nzima, wengine wanakuwa vibarua tu (part-time). Huku ndiyo mzazi anapelekewa homework kama mwanafunzi.
Hivi unadhani waziri Ummy siyo mama? Kwa kazi zake anaweza kufanya homework? Ndiyo maana Kuna shule za wazazi wa aina hiyo
upotovu wa wanawake imekuwa kilio cha wengiDarasa la 2 kwa uchawi ndio wenyewe subiri kugeuzwa ndondocha soon
The late kaka yangu m,moja aliwahi kufanya hivi (R.I.P MY BELOVED BROTHER)Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?