Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

Nani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?

Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako 😂😂 ‘umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
Hujatumia Lugha nzuri mkuu sio freshi
 
Cheating inaingikiana vp na mambo ya elimu? Kwamba mwanamke akiwa msomi ndio milage za kugongwa zinaongezeka!?!!!!????
 
Umeyakanyaga poleeee!
Subiri akili za watoto wako zitakupa majibu😂
 
Kosa kubwa linalofanywa na wanandoa wengi ni kufikiria jamii itasemaje juu ya mwenza wake ama kumchagua mwenza kwasabb ni photogenic atavutia nikimpost.

Mnapaswa kuangalia uwezo wa mtu kkt kutimiza roles za mke na mume, siyo kuifurahisha jamii.
Wa darasa la pili ana fit hapo kwenye maelezo yako? Kwamba ataendana na kasi ya malezi ya mjini? Kwamba mtoto wake aje na utashi wa smartphone, mama mtu ataweza kung’amua? Kwamba mtoto ametoka shule na homework na anahitaji amsaidie, baba atarudi kutoka kazini amfundishe mtoto? Wanaume mna kazi kubwa nawaambia. Mmekua kama mapunguani baadhi yenu: inferior
 
Huu ndio Ukweli Mkuu.

Yaani Ukitaka kuwa Mume kweli na uwe na Sauti ni lazima Umzidi kila kitu Mkeo

Halafu Mwanamke hajaumbwa kutafuta riziki kwa kutafuta chakula, makazi na mavazi, hayo yanampasa Mwanaume

Mwanamke anapaswa kukupa mapenzi, kukupikia ushibe na kuangalia watoto wako BASI

Akianza kufanya majukumu yako hapo Ndoa inakuwa hatiani anakuwa na kiburi na huo ndio UKAFIRI HALISI.
Unastahili medali ya dhahabu,,,naunga mkono hoja
 
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
😂😂😂
 
Kwamba mtoto ametoka shule na homework na anahitaji amsaidie, baba atarudi kutoka kazini amfundishe mtoto?
Tatizo mnapeleka watoto kwenye Inglish (siyo English) medium schools. Ambako homework anapaswa kufanya mzazi na mtoto.

Wenzako tunapeleka mtoto kwenye international Schools, tukifeli sana tunawapeleka English (siyo Inglish) medium schools, ambako kila kitu kinafanywa na mwalimu. Mzazi kazi yake kulipa ada tu.

N.B. Inglish (siyo English) medium schools ni vishule vinavyoanzishwa na waganga njaa. Hawa wanaajili walimu 3 shule nzima, wengine wanakuwa vibarua tu (part-time). Huku ndiyo mzazi anapelekewa homework kama mwanafunzi.

Hivi unadhani waziri Ummy siyo mama? Kwa kazi zake anaweza kufanya homework? Ndiyo maana Kuna shule za wazazi wa aina hiyo
 
Kama wewe ndo baba unaetegemea kulea familia bado una kazi kubwa sana. Very low thinking capacity. Yani kisa nalipa ada ndo nisijue mwanangu anasoma nini shule? Nta interact nae vipi sasa? Kwenye ndoa tatizo kubwa ni mentality ya baba ikikinzana na mapokeo ya mama moto lazima uwake.

Ingekua hivyo. Kila mtoto anaesoma hizi English medium angeongoza
 
Nimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.

Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.

Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
The late kaka yangu m,moja aliwahi kufanya hivi (R.I.P MY BELOVED BROTHER)

Alioa MKE kama huyo baada ya kumzalisha watoto wawili akimkataa na kusema mtu mwenyewe hujuh hata kusoma
 
Back
Top Bottom