Kuogopa kutendwa nimeamua kuoa asiyejua kusoma na kuandika, zaidi ya kuandika jina lake hajui chochote kingine

Hata awe bubu ataliwa tu
 
Watoto huwa wanarithi IQ za mama zao.Sasa huyo mwenzetu amejichanganya sana maana shuleni watoto wake watazungusha Sana miduara😂


IQ haipo attached na Elimu

IQ ni uwezo wa akili Ila Elimu sio IQ Akili .

Tazama wasomi wetu utajionea
 
Reactions: G4N
Haisadii iyo mkuu pole sana kikubwa we mzalishe alafu usimchunge sana mpe uhuru , kuna shekh moja hiv kakibiwa na ke ivo ivo ajui kusoma aujui kuandika ila mzuurii alikuwa anamchunga sana ampi uhuru mpaka mwanamke kachoka now katoroka kaenda sijui kwa boda boda gani
 
Mkuu umefanya maamuzi sahihi kuhusu kuoa lazima uwe logically kuoa MTU mjuaji na asiyejitambua huku akisema amesoma ni kujimaliza.

Hao darasa la Saba most of them wameonesha , they deserve to get marriage.

Mimi Babu yangu alikuwa intellectual mkubwa na amefanya kazi na nyerere na ni very prominent serikalini na Taifa Ila alimuoa bibi yetu alikuwa hajui kusoma wala kuandika lakini she was very bright .


Huyu bibi yetu watoto wake wote 08 kawasomesha hadi elimu za juu amehakikisha wanaoa na kuolewa kahakikidha wanajenga majumba na kuwa well financial stable.


So siwezi kuongea zaidi Ila tunahitaji kuoa smartest women , na sio MTU tu ilimradi kasoma .


Babu yangu alikuwa educated , Ila hakuwa na akili kumfikia bibi ambaye alikuwa hana hata darasa moja.


Hawa wanajiita wasomi Ila hawana huo usomi kichwani , ukiwaambia walee mtoto hata mmoja kwa hustle zao bila kupata back up hawawezi kabisa.


Babu yangu alifariki akaacha watoto 06 ambao walikuwa hawajajipata Ila bado Bibi yangu aliweza kuwalea na kuhakikisha wanajipata na kuwa productive.
 
Reactions: G4N
Soma uzi aya ya kwanza.
Sio tu hajui kuandika, ni hazijatimia kichwani.
 
Hongera umeupiga mwingi jilie raha.
Ila wanao wakike usiwapeleke shule mzee ili wawe wake bora kama mama yao wasijekuwa feminists.
 
Kuna watu ukiondoa Degree yake kichwani aliyosomea anabaki hata za kuvuka barabara hana.

Hapo hakuna akili.
Kweli kabisa maana hata wazee wetu before Uhuru kipindi ambacho huduma za afya ,Elimu N.k zilikua duni kwa kiasi kikubwa lakini kwa kiasi kikubwa waliweza kutumia akili zao na kuweza kuyatawala mazingira na Maisha yao
 
Hongera sana muhimu furaha tu, ila jiandae homework zote za watoto zinakuhusu mkuu.😀
 
Hujatatua tatizo,ukishamfikisha safari anayoitaka kufika ataanzisha safari nyingine!jiandae kisikolojia!!

Ndoa ni fungu la kuomba Mungu tu,ukikosea Anza upya usiogope hata kama mna watoto kumi!
At
 
Duu kwani dudu huwa unasoma?
 
Huyo demu wako ana smart phone? Ana sura mbaya, yaani pollygon hana umbo la kuvutia yaani shepu nzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…