Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Hata awe bubu ataliwa tuNimeamua kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?