Tony Cipriano
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 2,139
- 5,109
Umemleta mjini kama Zubeda wa prof Jay sio!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu amemteua huyo wako pia au sioHata masiya wa bwana alizaliwa kwenye hall la ng'ombe Ila watu walistaajabia hekima na majibu take easy hata ukizaliwa na CHIZI MAARIFA still unaweza kuja kua a distinguished individual 😊😊
Nimecheka aloooNimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
Mwalimu wa kina Junior atakuwa na kibarua cha kuandika See meNani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?
Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako 😂😂 ‘umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
Kama nimeipenda hiviKama anaweza kukusongea Ugali, kukuvulia nguo usiku na kukufulia nguo zikang'aa basi inatosha.
Hayo ndio majukumu ya msingi kwa Mke
mengine ni Ukafiri tu
Mixed feelingsNani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?
Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako 😂😂 ‘umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
Nimekupa medali ya dhahabu chap,,,duu kumbe mashairi mengi hiviUmesahau ulipotoka, hujui unapokwenda
Ukapata kiburi kuona mi nakupenda
Nilikuthamini na letu penzi kulienzi
Na leo siamini kama umenisaliti mpenzi
Kumbuka nilikukuta kijijini Sitimbi
Umebeba mahindi na furushi la magimbi
Nguvu ziliniishia mithili ya mfa maji
Nafsi nayo ikakidi kwamba kweli nakuhitaji
Kigoli, mwenye umbo kama la mdoli
Wala sikutaraji ungepiga nami story
Nilifurahi kuweza kukufahamu
Na nikakuahidi subiri zangu salamu
Kwa kuwa nilikwenda tu kumtembelea bibi
Yote yaliyojiri tu kumweleza ilibidi
Wote walishangaa kusikia nataka mchumba
Kwani vijana wengi wa mjini tuna kasumba?
Wakaweka kikao niweze kutoa posa
Niliapa kujiua iwapo ningekukosa
Walinikabidhi nirudi nawe mjini
Na nikakusisitiza mjini kuwa makini, ah
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenzi
Anasa za jiji zikakuchanganya
Mapenzi ukasaliti na ukanikana
Ukaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe tena haitawezekana mpenzi
Nshampata ambae tumependana
Majeraha makubwa yajadui moyoni
Mi' nimeshamuachia Maulana
Alikuwa mzuri mithiri ya malaika
Alipotua mjini Zubeda ni patashika
Hakika alionekana alikuwa mgeni wa jiji
NIlipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya vibwenga washikaji wakanicheka
Hakutaka kitanda alilala kwenye mkeka
Alipokuwa akiona magari alikimbia (he-he)
Akimuona mtu kwenye TV anamwamkia
Kila alichofanya alikuwa anakosea
Nilimvumilia kwa kuwa hajazoea
Hakai kwenye sofa, alikuwa anakaa chini
Mafuta ya kupikia eti anayapaka mwilini
Namnunulia soda hataki, anataka togwa
Nikimletea keki hataki, anataka boga
Majirani walimpenda sababu ya uzuri wake
Nasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusuka
Usiku ananitoroka tena kwa kuruka ukuta
Nilipokuwa natoka, nae nyuma anatoka (yeah)
Nikimtuma kitu anadai eti amechoka
Nikienda kazini ndani analeta mabwana
Magari ya kifahari yakawa yanapishana
Hakika starehe za dunia zikamteka
Na hatimaye hata nyumbani pia akatoweka, ah
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenzi
Anasa za jiji zikakuchanganya
Mapenzi ukasaliti na ukanikana
Ukaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe tena haitawezekana mpenzi
Nshampata ambae tumependana
Majeraha makubwa yajadui moyoni
Mi' nimeshamuachia Maulana
Nilipigwa na butwaa, mtaani walinishangaa
Nilikosa raha hata nafsi ilikata tamaa
Sikujua huyu binti ni mzima au amekufa
Ilibidi niombe watu msaada wa kumtafuta
Kumbe anaonekana viwanja vya kila aina
Leo yupo na mzungu na kesho yupo na Mchina
Nilipata shahuku ya kutaka japo kumuona
Ingawa niliamini moyoni ingenichoma
Kweli tulimtafuta kwenye kumbi tofauti
Ili nihakikishe kweli hajapatwa na mauti
Nikamkuta Casino la Wadachi na Walatino
Akigonga mvinyo, wa hashipapi, hashipinyo
Pechie chipinyo na pamba za mandarino
Macho yalinitoka mithiri ya zingonginyo
Hakika alipendeza kwa staili alizocheza
Naye kila aliyemtazama alitamani kumchombeza
Kwa pozi na dharau alijifanya amenisahau
Wakaniona takataka mbele ya washikadau
Ilibidi niondoke machozi yakinilenga
Shetani kashanitega na tunda langu kamega
Akapata mimba aliyempa hakumtambua
Na wote aliowafata eti wakakana kumjua
Zubeda na mimba yake hakuwa na pakuishi
Hakujua ale nini na vipi apate ridhiki
Ghafla hifadhi yake ikawa ni stendi ya basi
Siku nyingine mvua ilimnyeshea kupita kiasi
Akarudi nyumbani eti arudiane nami
Kurudi kwao hataki, mi n'na familia ndani, ah
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenzi
Anasa za jiji zikakuchanganya
Mapenzi ukasaliti na ukanikana
Ukaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe tena haitawezekana mpenzi
Nshampata ambae tumependana
Majeraha makubwa yajadui moyoni
Mi' nimeshamuachia Maulana
😂😂😂😂kaoa chizi na anajisifiaNani atafanya homework za watoto wako usipokuwepo?
Wahenga wanasema pasee flani watoto wanachukua akili za mama. Kila la kheri na huyo chizi fresh wako 😂😂 ‘umesema mwenyewe ukimtizama ni kama hazijatimia’
kwani Hawa alikuwa la ngapi alipoongea na snakeNimevuta kuoa mke darasa la 2, ukimchunguza sana ni kama hazijatimia. Lkn yuko fertile kinyama, ukigusa tu mimba.
Nimeamua kufanya hivi ili kuwakwepa mafeminist, wajuaji, wapenda hela, wapenda mawigi, watembea uchi, wachezaji vikoba na watafuta utajiri kwa kupitia mume.
Je, mwanaJF, unadhani nimeupiga mwingi ama nimebutua?
🥴Bora mwerevu hata aki cheat anatumia akili ... huyo akijanjaruka utakuta 'Kitumbua' kinatumbuliwa sebuleni