Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

Kwa ufahamu wangu ni kwamba watanzania walio wengi huko Marekani haswa hawa vijana wa kibongo fleva (kizazi cha 90, na 2000) ni ma alosto tu...wengi wao wanaishi maisha ya kubangaiza na kuunga unga, kuuza madawa ya kulevya, umbea na kufanyiziana. Unakuta wanaume wa Kitanzania ni wambea shinda wanawake wao na hii ni wanawake wenyewe wanalalamikia kaka zao. Ukiwa na rafiki wa Kitanzania watakuchunguza na kutaka kukuharibia mipango yako ili tu na wewe uwe kama wao. Pia wabongo popote pale waishipo si China, Uingereza au Marekani hawapendi kujichanganya na raia wa nchi zingine pengine labda ni lugha inawapiga chenga na pia wanapenda kuchukuliana mademu kama wafanyavyo huku nyumbani. So in short kuwa na rafiki mbongo majuu ni kujitakia matatizo tu.
 
jamaa zangu waliokuwa wanaishi oysterbay wakati tupo shule wote wako marekani,,,lakini walichoambulia ni kuongea kama snoop dogy dog!!
 
Wabongo tunapenda sana misaada yaan kitonga we kaza hakuna atakaekuonea huruma kwa maisha ya sasa
 
Mwenge
 
Tatizo wabongo ukileta mazoea nae anaanza Tabia za kupiga vizinga na usinitch
 
Huyo Kaka yupo jela lazima...maana kama ana akili timamu na yupo uraiani hawezi kufanya ivo.
 
Wabongo walio Marekani wengi ni mafukara sana.

Diaspora wenye uchumi mkubwa ni wapopo.
 
Wabongo walio Marekani wengi ni mafukara sana.

Diaspora wenye uchumi mkubwa ni wapopo.
Ndio kisa na maana hawarudi.....muda umekwenda kurudi wanaona noma wanahisi watachekwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…