cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Mie bado nina kamba mguuni,,,,,,hata tongotongo bado hazijantoka
Je, wewe ni mmoja wale wa SUA? 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie bado nina kamba mguuni,,,,,,hata tongotongo bado hazijantoka
Sijakuelewa
HapanaNimeuliza tu kwa jinsi ulivyojibu, kuna wa SUA wengi hawakuondoka miaka ya juzi juzi, walipopelekwa kujifunza kujiongeza ki maarifa.
Hapana
Mie mwanangu mkubwa kanialika kuja kuosha macho.......siku si nyingi nitaondoka.....nishakumbuka maisha ya barabarani na malori......kuchoma nyama na mengi mengineyo 🙂
WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana.
Maisha na michongo hupatikana kwa waKenya yaani Mtanzania na Mkenya kwa Marekani ni zaidi ya ndugu.
Sasa katika pitapita zangu kuna sehemu huwa naenda kupata ''gahwa'' na kitu kama kashata za karanga wenyewe wanaita 'peanut butter cookies',,,{hii hunifanya nijisikie niko kwenye vijiwe vya kahawa vya nyumbani}
Wakati napooza baridi na kahawa nikasikia mtu anazungumza kiswahili kwenye simu....na kiswahili chake ni cha kibongo haswa.....basi mara baada ya kumaliza kuzungumza nikaona vyema nimsabahi,,,,,dooh mwanangu jamaa alipaniki mpaka nikaona huu mtihani lakini hata hivyo nikazidi kuzungumza nae kiungwana na kiundugu.......
Kwa kifupi jamaa akawa mpole na baada ya kumkaribisha gahwa akaanza kufunguka yeye bongo anatoka sehemu gani na yupo marekani kwa muda mrefu sana sana....akazidi kunijuza visa mbalimbali vya wabongo kufanyiana roho mbaya.........
WAbongo wengi waliokuja miaka ya 80 themanini na tisini wazazi wao walikuwa aidha ni viongozi au wafanyabiashara wakubwa....na watoto wengi maisha yao ya nyumbani yalikuwa na hali nzuri sana,
Pia kuna wabongo wachache ambao wametoka kwenye familia za kimasikini ambao wao hukumbuka kufanya hili na lile kwa nyumbani,,,
Sasa wale watoto wa wakubwa hakuna la maana walilofanya aidha nyumbani au huku marekani wengi ni walevi wengine ni mateja na wengine wako jela ama wametoka jela kurudi nyumbani wanaona noma....kazi yao kubwa ni kuwafanya wabongo wengine waharibikiwe,,,,,,,
Wazazi wao huko bongo wengi wamekwisha fariki na wengine wamestaafu kazi na hali zao kiujumla si nzuri,,,,,,Hapa ndipo nikamkumbuka mzee fulani maeneo ya Mbezi beach watoto wake wote wako marekani lakini yeye maisha yake ya kinyonge sana,,,,angalau jumba analokaa linaonyesha hapo kabla alikuwa MTU lakini.........
uko sahihiSafi sana ila mimi maisha ya huku sijayafurahia...labda pengine nishapitwa na wakati
Safi sana ila mimi maisha ya huku sijayafurahia...labda pengine nishapitwa na wakati
Huwezi ukataka kumfahamu mtu kiundani tena nchi ya ugenini na pia ndio mara ya kwanza mnaonana hata bila appointment yoyote.Kwa sababu za ki 'INTELIJENSIA' itakuwa ngumu kusema
Mie mwenyewe huku mpita njia tu......huko US ni pa ajabu sana, hapafai. mnamkataa Mungu? Sasa pambaneni na moto. mtajua hamjui.
KIla siku najifunza,,,,,,,Huwezi ukataka kumfahamu mtu kiundani tena nchi ya ugenini na pia ndio mara ya kwanza mnaonana hata bila appointment yoyote.
Na ndio kama hapo wewe ulipokataa kusema uko jimbo gani.
Alikuja Pascal anataka kuhoji hoji watu wasiomfahamu na asiowafahamu mwisho wa siku alipuuzwa.
Mbona Ernest anafanya mahojiano na watu vizuri baada ya kuomba appointment sababu sio questionable character .
Kwa hiyo hawakuwaotea na mzigo bloangu?,🤣🤣🤣🤣🤣Nafikiri sababu za msingi kabisa zinasosababisha kuwepo kwa hali kama hiyo ni USALAMA. Sababu za kiusalama ndizo kiini cha kuwepo kwa hali hiyo. Kwa sasa dunia inakabiliwa na janga kubwa sana la KUKOSEKANA KWA UAMINIFU, uaminifu umepungua Sana miongoni mwa Watu katika zama hizi hali ambayo imesababisha Watu kuogopana, Watu kuwa wabinafsi.
Isitoshe, kwa upande wa waTanzania hali iko mbaya zaidi. Uzoefu unaonyesha kwamba waTanzania wengi Sana (sawia na Watu weusi wengine) wamekuwa wakipenda kupata mafanikio kwa njia za mkato hivyo kupelekea wao kujihusisha na masuala ya uhalifu (illegal dealings) ili kuweza kupata vipato (fedha) za haraka haraka bila ya kujali kwamba "shortcut is always a wrong cut." Aidha, waTanzania wengi Sana huko ughaibuni tayari wameshaweka precedent mbaya sana za kujihusisha na vitendo vya uhalifu kama vile kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya au mitandao yake, masuala ya human trafficking, mitandao ya ugaidi, illegal international migration, and other non-law abiding activities, n.k, n.k.
Nitakupatia mfano hai wa kisa kimoja ambacho nilikutana nacho Mimi mwenyewe binafsi miaka takribani tisa iliyopita nikiwa safarini (air travel) katika nchi moja hivi huko ughaibu. Kwenye hiyo ndege niliyokuwa nasafiri nayo tulikuwemo Abiria wawili ambao tulikuwa na Passports za nchi ya Tanzania, Mimi na mwenzangu mmoja, mTanzania mwenye asili ya Watu wa Asia (i.e. Mwarabu ambaye baadaye nilifanikiwa kusoma jina lake moja tu la kwenye Passport yake wakati nikiwa kwenye kizuizi Cha mwisho kabisa cha Maafisa wa Uhamiaji wa Uwanja wa ndege kwenye nchi hiyo cha 'Boarding Pass' kabla ya kupanda ndege. Jina lake moja nililonukuu la huyo mTanzania mwenzangu nakumbuka ni somebody called 'Chudasama.' Kimsingi kutokana na precedent mbaya sana iliyowekwa na waTanzania wenzetu waliotangulia kusafiri kupitia kwenye nchi hiyo ilitusababishia Usumbufu mkubwa sana sisi Abiria wengine tuliozuru au kupitia kwenye nchi hiyo. Mistakenly nami nili-fall kuwa Victim wa makosa yaliyofanywa na waTanzania wengine kwani wakati mwingine unapitia Usumbufu wa kuhojiwa/kudodoswa Sana kupita kiasi na Maafisa wa Uhamiaji katika nchi za Watu. But all in all, nashukuru Mungu kwa sababu mwishoni Maafisa hao Walituomba Msamaha na kuturuhusu kuendelea na Safari yetu kwa amani na usalama baada ya ku-realize kwamba hawakufanya fair kabisa kwetu kwenye utekelezaji wa majukumu yao ya kazi.
Acha mjumuisho. Kwani umekutana na wote ? Hata nyumbani tunaogopana. Tunaogopa uraia pacha upinzani na dini.WaTanzania tuna asili ya undugu na ukarimu kwa hapa nyumbani........ lakini kwa Marekani ni tofauti kabisa...wabongo huogopana sana.