Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, Umeelewa kwanza kuhusu hicho nilichoandika kwenye hiyo comment?Kwa hiyo hawakuwaotea na mzigo bloangu?,🤣🤣🤣🤣🤣
Inavyoonekana wewe ni miongoni mwa Watu wenye Passport ya Tanzania ambao mmekuwa mkijihusisha na vitendo viovu vya uhalifu huko nje ya Tanzania na kuharibu kabisa sifa nzuri za jina la nchi. Nyie ndio mmekuwa mkilipaka kinyesi jina la nchi kuwafanya watu/raia wote kabisa wa Tanzania kuonekana kuwa wanajihusisha na vitendo vya uhalifu. Baadhi ya nchi zenye Sheria kali Sana Kama vile China, Malaysia, Pakistan wamekuwa wakifanya vyema sana kuwanyonga Watu wahalifu ambao wamekuwa wakikamatwa kwenye hizo nchi zao.haha aisee dah umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo pale gatwick london tulimpelekeaga shobo chimakekee ting tang ting tang haikatai.... ngozi ya tako ngozi ya mbupu akatunitch kwa immigration kesho yakeee mazee dah....nliponea wenzangu wawili wakadakwa...nikimuonaga tiktok nacheka tuu...
Kabisa hata mwanangu ameapa hatarudi bongo.....ndio kisa na maana mimi baba yake kunipa mwaliko nije msabahi...lakini walaaaahi mimi huku sikupendi asilani.....narudi zangu bongo siku si nyingi......Jamani tumechoka kila siku kufatilia maisha ya watu wanaoishi US na Ulaya
Hivi hamjua maana ya neno kulowea, nyinyi mnadhani kila anayeenda huko anafikiria kurudi sijui kujenga mara kuja na biashara, kuna wengine wameamua kulowea hasa huko, kuna madaktari, wanasayansi na pia choka mbovu lakini bado anauhakika wa sehemu yake ya kuishi na kujitegemea, kwa maana hiyo harudi na wala hataki kusikia stori za sijui kujenga nyumbani wala nini....
Na wale walioanza familia kabisa , hatakuelewa umlete stori za kurudi na familia yake eti kwenye kinyumba alijenga huko mbezi au sujui kigamboni...
Sio kila mtanzania alieko nje ya nchi ana mawazo ya kurudi bongo hata kama anajiweza.
Kuna watu huko wana makampuni na wameajiri wazawa wa huko, sasa huyu utamwambiaje aje kuwekeza bongo na kuajiri watu wazembe, wavivu na wezi.Kabisa hata mwanangu ameapa hatarudi bongo.....ndio kisa na maana mimi baba yake kunipa mwaliko nije msabahi...lakini walaaaahi mimi huku sikupendi asilani.....narudi zangu bongo siku si nyingi......
Kupanga ni kuchagua
Maisha popote
Riziki mwanzo wa chuki
Mganga Mungu
miti shamba imani
US Dollar $$$ utazipata lakini kuna msemo nimeukuta huku...BILLS BILLS BILLS.......zaidi ya kula kunywa na kuvaa.....labda na kausafiri hakuna la maana huku.....pesa inapita mikononi tu...huku watu wanaishi kwa madeni ...kuna hiyo CREDIT CARD kila wanavyojaribu kunielezea ni kitu gani huwa mimi SIELEWI........Mnaona Aibu...
Mnajimwambafai kumbe wengi mahomeless..
🤣🤣