Kuogopana kwa Watanzania nchini Marekani

Nimeuliza tu kwa jinsi ulivyojibu, kuna wa SUA wengi hawakuondoka miaka ya juzi juzi, walipopelekwa kujifunza kujiongeza ki maarifa.
Hapana
Mie mwanangu mkubwa kanialika kuja kuosha macho.......siku si nyingi nitaondoka.....nishakumbuka maisha ya barabarani na malori......kuchoma nyama na mengi mengineyo πŸ™‚
 
Hapana
Mie mwanangu mkubwa kanialika kuja kuosha macho.......siku si nyingi nitaondoka.....nishakumbuka maisha ya barabarani na malori......kuchoma nyama na mengi mengineyo πŸ™‚

Sawa enjoy huko, napafahamu nimefika hapo mara kadhaaa

Mwaka huu au Mwakani nitapita hapo tena.
 
And by that token na hii tabia yako naona kwanini watu wanaogopana au wakijua tabia yako watakuogopa..., Yaani kama vile SHIHATA au Correspondent wa Global Publishers...,
 

huko US ni pa ajabu sana, hapafai. mnamkataa Mungu? Sasa pambaneni na moto. mtajua hamjui.
 
Safi sana ila mimi maisha ya huku sijayafurahia...labda pengine nishapitwa na wakati

Enjoy kula na kupumzika kama haufanyi baby sitting nayo πŸ˜€πŸ€—subiria spring na summer time enjoy zaidi. Kila la kheri
 
Kwa sababu za ki 'INTELIJENSIA' itakuwa ngumu kusema
Huwezi ukataka kumfahamu mtu kiundani tena nchi ya ugenini na pia ndio mara ya kwanza mnaonana hata bila appointment yoyote.

Na ndio kama hapo wewe ulipokataa kusema uko jimbo gani.

Alikuja Pascal anataka kuhoji hoji watu wasiomfahamu na asiowafahamu mwisho wa siku alipuuzwa.

Mbona Ernest anafanya mahojiano na watu vizuri baada ya kuomba appointment sababu sio questionable character .
 
And by that token na hii tabia yako naona kwanini watu wanaogopana au wakijua tabia yako watakuogopa..., Yaani kama vile SHIHATA au Correspondent wa Global Publishers...,
Teh teh UFYETERE ni muhimu kwa Afya teh teh koh koh
 
huko US ni pa ajabu sana, hapafai. mnamkataa Mungu? Sasa pambaneni na moto. mtajua hamjui.
Mie mwenyewe huku mpita njia tu......
kuna banda moja la kahawa wanaita Starbuck....mwanangu vyoo vyake vina matangazo kwamba 'mashoga' ni ruksa kutinga choo chocchote ME na kE
 
KIla siku najifunza,,,,,,,
 
Kwa hiyo hawakuwaotea na mzigo bloangu?,🀣🀣🀣🀣🀣
 
Acha mjumuisho. Kwani umekutana na wote ? Hata nyumbani tunaogopana. Tunaogopa uraia pacha upinzani na dini.
 
Nazamia vp Marekani ase...natamani sana nifike kipande hicho.

Nilipokuwa uwanja wa ndege pale Abidjan, Cote D'Ivoire nilikutana na mtu amevaa jezi ya Taifa Stars na alikuwa ana ngozi nyeusi huku akiwa na passport ya Marekani, nilitaka nimsabahi lakini nikaona jau kwamba huwenda sio Mbongo.
 
Jamani tumechoka kila siku kufatilia maisha ya watu wanaoishi US na Ulaya
Hivi hamjua maana ya neno kulowea, nyinyi mnadhani kila anayeenda huko anafikiria kurudi sijui kujenga mara kuja na biashara, kuna wengine wameamua kulowea hasa huko, kuna madaktari, wanasayansi na pia choka mbovu lakini bado anauhakika wa sehemu yake ya kuishi na kujitegemea, kwa maana hiyo harudi na wala hataki kusikia stori za sijui kujenga nyumbani wala nini....
Na wale walioanza familia kabisa , hatakuelewa umlete stori za kurudi na familia yake eti kwenye kinyumba alijenga huko mbezi au sujui kigamboni...
Sio kila mtanzania alieko nje ya nchi ana mawazo ya kurudi bongo hata kama anajiweza.
 
haha aisee dah umenikumbusha miaka ya nyuma kidogo pale gatwick london tulimpelekeaga shobo chimakekee ting tang ting tang haikatai.... ngozi ya tako ngozi ya mbupu akatunitch kwa immigration kesho yakeee mazee dah....nliponea wenzangu wawili wakadakwa...nikimuonaga tiktok nacheka tuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…