ndoa njema ni ile ya watu wawili weye jinsia tofauti (me na ke) wenye kujitambua na kwa mapenzi waliokua nayo baina ya kila mtu kuamua sasa ni muda wa kua halali
kuishi ndoa ni kuishi maisha ya kufata kiapo cha ndoa pamoja maamrisho yote tuliyooamrishwa,
kabla hamjaoana mtambue tu mnaenda kutengeneza familia ambayo ina msingi wa upendo na hofu ya Mungu,
mwanamke ajue nafasi yake, mwanaume ajue nafasi yake, na wote kwa pamoja watambue wanaoana hao sio malaika, kuna madhaifu wayabebe kila mmoja abebe ya mwenzie na kuishi nayo
ndoa ni kuvumilia, sio kuvumilia vipigo NO kuvumilia hali zote (shida na raha) sio tena dada ajue anaolewa hakuna shida ndio kamaliza, atambue kuna wakat wa dhiki na wakat wa faraja astahmili na kaka tena sio umeoa leo umepata kesho umekosa mbiombio unairudisha familia nyumbani komaa, pambana kadri ukirudi nyumbani ukiiona familia yako inavyokusubiri wakat wa shida ndio iwe motisha ya kupambana zaidi
ndoa ni somo pana lakini kwa hayo machache hope umeelewa