Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

Kupendwa ni jambo moja na kuolewa ni jambo lingine.
Kupendwa unaweza ukapendwa hata na boy wa kitaa lakini usiolewe nae pia. Minaamini kwamba kuolewa ni habati tu, na hii haimaanishi kwamba ambao hawajaolewa hawana bahati.
 
ndoa njema ni ile ya watu wawili weye jinsia tofauti (me na ke) wenye kujitambua na kwa mapenzi waliokua nayo baina ya kila mtu kuamua sasa ni muda wa kua halali

kuishi ndoa ni kuishi maisha ya kufata kiapo cha ndoa pamoja maamrisho yote tuliyooamrishwa,

kabla hamjaoana mtambue tu mnaenda kutengeneza familia ambayo ina msingi wa upendo na hofu ya Mungu,

mwanamke ajue nafasi yake, mwanaume ajue nafasi yake, na wote kwa pamoja watambue wanaoana hao sio malaika, kuna madhaifu wayabebe kila mmoja abebe ya mwenzie na kuishi nayo

ndoa ni kuvumilia, sio kuvumilia vipigo NO kuvumilia hali zote (shida na raha) sio tena dada ajue anaolewa hakuna shida ndio kamaliza, atambue kuna wakat wa dhiki na wakat wa faraja astahmili na kaka tena sio umeoa leo umepata kesho umekosa mbiombio unairudisha familia nyumbani komaa, pambana kadri ukirudi nyumbani ukiiona familia yako inavyokusubiri wakat wa shida ndio iwe motisha ya kupambana zaidi


ndoa ni somo pana lakini kwa hayo machache hope umeelewa
Je mkioana halafu ukaja ukagundua MW nzako nimchepukaji utavumilia
 
sawa ni heshima, Ila hujajibu swali mkuu, kuolewa ndo kupendwa??
Ndio ndo kupendwa,usimwamini mwanaume anakudanganya anasema yule nilimuoa kwa sababu wazazi walinilazimisha au akataja sababu yoyote na anakwambia ila we ndo nakupenda
Au wadada wanawatambia wenzao eti umeolewa ila anayependwa ni mimi thubutu,ogopa matapeli
 
Marriage 👇🏻👇🏻👇🏻🤣🤣
screenshot_20230207-143405_facebook-jpg.2509530
 
Kataa ndoa , upendo hauwezi kupimwa na kitu cha kipumbavu hivyo, nikishagegeda kipururu kikikata huwa ndo naangalia kma ninapenda au lah najikuta mdada ninae mpnda ata smtamani kumgegeda
 
Back
Top Bottom