Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

Kuolewa ni Heshima kwa Mwanamke

Lakini wenye kuithamini hio heshima wapo? Wengi wakishapata ndoa tu wamemaliza uanza chokochoko za kuibomoa ndoa. Ndoa ikifa uanza kukimbilia kwa Mwamposa baada ya kuliwa pesa na waganga.
 
Back
Top Bottom