Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
Una muda gani kwenye ndoa?Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,
Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,
Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,
Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?
Ni full raha, yaani raha.
Asante mume wangu.
Mungu akubariki na abariki ndoa yako ifike japo mwaka mmoja na zaidi.Siku sita
Aahaaahhaa.... Coming up soon.. Thanks..If you're interested you can too
Hahaaahha....most of them they run away during the Labor .. Some are show up after the baby delivered / arrived safe and sound. haahaaahaaa...Its only women can bear much pain ... Thank you Lord He knew it before .. Thanks..Tarariraaaa ila ukishapata mimba utuletee meejesho na huko leba mtaenda wote
Hopefully we will be togetherHahaaahha....most of them they run away during the Labor .. Some are show up after the baby delivered / arrived safe and sound. haahaaahaaa...Its only women can bear much pain ... Thank you Lord He knew it before .. Thanks..
Worryout j33, I will display each and everything here as this is the only place where I met my lovely husband.
Hopefully we will be together
Fanya summary kwanza bhana refu sana limenishinda kusoma halafu hakuna mvutoWewe utakuwa kidomo domo AU
Unatabia za kipashkuna AU
Tabia yako na mumeo hazifanani AU
Mmeo haja kuzimia sana ila wewe ndiye ummpenda sana AU
Hujafikia kiwango alichotegemea mmeo na wewe unajua AU
Mmeo umempata kwa manipulation na hivyo unalazimika kuwa mnafiki AU
Huna kazi ya kufanya kila wakati uko mtandaoni AU
Mmeo hana taimu na wewe hivyo unajisikia upweke na ndiyo sababu kucha kutwa uko hapa AU
Hujui kukaa na mme, unadhani uimara wa ndoa ni mangazo kwenye media. KAMA SIVYO:-
MLIKUTANA JF, WEWE NDIYE KIHEREHERE CHA KUTANGAZA "LEO NAOLEWA" KWA NINI ASIWE MMEO?
WEWE NDIYE KILA SAA UNAJISEMESHA KA KUJILAZIMISHA "NDOA NI RAHA, KWA NINI ASISEME MANENO HAYO MMEO?
Wewe una matatizo. Mmeo anaonekana ni mtulivu na ukiendelea hivi atakuchoka na kuona kaoa mke wa kiwngo cha chini, hatimaye ataanza kukuficha mambo muhimu, atakukwepa na mwisho atakuacha. Rekebika. Ndoa si uchumba. Ni kipindi cha kuwa karibu na mwenzako katika mambo yote hadi kitabia na si kushinda mitandaoni ukisema mambo yako ya ndani.
Au hukutegemea? Utaachwa mjukuu, jifunze utulivu kama alio nao mmeo.
Shauri yako. Utarudi hapa kwangu uendeleee kupika mdalamdala!