Kuolewa raha!

Hahahaha kakojoe ukalale
 
Hii ndoa ya daily updates dada uwe makini sana! Au hujui kuna uchawi wa masafa?...una nia nzuri ndiyo ya kuonesha raha ya ndoa lakini usiupuuze ushauri huo..ya dunia mengi
Wazee ni dawa, nimekuelewa Ila tatizo miraha imezidi mpaka haifichiki tena
 
Na kama kuna ugonjwa atakuwa anaumwa huyu dada basi lazima itakuwa saratani ya mpenzi
 
Yote hayo yataisha siku hizo shahawa za moto zitakapokuambukiza mimba na kuzaa. Michepuko ndo itakuwa inapewa nafasi hiyo.
 
Hahaaahha....most of them they run away during the Labor .. Some are show up after the baby delivered / arrived safe and sound. haahaaahaaa...Its only women can bear much pain ... Thank you Lord He knew it before .. Thanks..

Kiingereza chako ni low-key!
Let's get back to our roots,sio lazima wote tugonge ung'eng'e [emoji38]
 
Tuliza mukali mammy, nikiwa safarini ndo mambo unayofanya eh.
 
Itakua hujaolewa, umeoa kaserengeti boy.
Mwanaume gani hana kazi za kufanya yani yupo nyuma yako kama kivuli.

Acha tu nivile npo safarini ila nikirudi nitamnyoosha.
 
Hii ni ndoa mpya, utatupa mrejesho panapo majaariwa ya M/Mungu
 
Haya jamani mimi nalala mume wangu ananisubiri tupeane maraha....pole kwa wale wenye ndoa ndoano..maana mwingine amehama chumba..mwingine bado yuko bar..mwingine amenuna mpaka domo linaburuza chini..mwingine anavizia mke alale amnyatie housegirl....mwingine anakumbuka mchepuko wake..mwingine anakumbuka bafuni nasabuni kujichua..mwngne amekupambatia mto..basi vuluvulu kila kona lkn mie monii naponda raha na my mume hahaha...asante mungu
 
Mmekutana January hadi April mmefunga ndoa Leo umeyaonja matunda na kuleta feedback, hongera lakini papara zako, na roporopo zitakuponza, umri wako 32yrs na degree uliyonayo havifanani na uyafanyayo, chunga sana mdomo wako kiherehere hicho ohooooo!
 
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…