sammoo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 701
- 1,604
mbona haina menoNaona imekuuma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona haina menoNaona imekuuma sana
Hahahaha kakojoe ukalaleJamani eh, Moniccca asiwadanganye wala nini, mie ndo Mchumba wake nimeamua kufunguka baada ya kuona anawalagai sana, bado hatujafunga ndoa kwasasa tunaridhishana kama kawa tu ila siku ndoa ikiwadia tutawaalika kwenye party, but for now hzo ni kiki zake tu.
Wazee ni dawa, nimekuelewa Ila tatizo miraha imezidi mpaka haifichiki tenaHii ndoa ya daily updates dada uwe makini sana! Au hujui kuna uchawi wa masafa?...una nia nzuri ndiyo ya kuonesha raha ya ndoa lakini usiupuuze ushauri huo..ya dunia mengi
Shahawa zake zimepoa?
Hahaaaaahaaa... So are you advice me to post my thread for Mr. Right too..? Just curious.. Thanks..
Hahaaahha....most of them they run away during the Labor .. Some are show up after the baby delivered / arrived safe and sound. haahaaahaaa...Its only women can bear much pain ... Thank you Lord He knew it before .. Thanks..
Hahahahahamonii kwa raha zakeee! Kama hawajaolewa wajitundikie tuu. Weye umeshaonja raha hii baasi. Hata akifwa leo watasema monii aliolewaga.
Tupe habari ka Nipashe mambo yalee alivyokuona siku ya kwanza, yaani siye tulibaki domo zege mwenzetu kaamua tema cheche. Bwaa kaopoa. Wenye wivu tutajimalizia Bwepande