Kuolewa usipopenda..

Kuolewa usipopenda..

Hapo ndio anapokosea rafiki yako Basi. Mwambie achague Moja kabla hajaingia kwenye hicho kufungo. Wala asijilazimishe. Ana haki na wajibu kusikiliza moyo wake, Kama anaona hamna connection na jamaa aachane nae, asiolewe sababu umri unaenda au sijui Dunia itamshangaa, amwambie jamaa ukweli na ajiendee zake. Akkilazimisha ilhali moyo wake hautaki hiyo haitakuwa ndoa aisee, itakuwa jela kwa wote wawili.

Naomba nitofautiane na wengi wanaomshangaa na kumshangaa anaachia ndoa. Ndoa sio fashion.

Kama haridhiki na jamaa aachane nae japo kashakosea kumpotezea jamaa muda wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji122][emoji122][emoji122]

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Mshauri kwamba mapenzi sio tuu kupenda ghafla yanajengwa polepole kulingana na mazingira waliyonayo kwa sasa labda hawakuwahi kukaa kwa mda mrefu karibu karibu japo ata wiki au mwezi mfululizo...
Lakn endapo wataingia ndani na kuzoeana nakuapia hatokaa ajutie.... Kwani kuzoeana kuna jenga upendo mzito sana.
Pia ajaribu kumweka namna yeye anavyovutiwa....
Kwani Mungu ndo kampa huyo.

Apple i
 
Huyo muongo na mnafiki amesubiri jamaa kafanya kila kitu ndio anajifanyishafanyisha, kalazimishwa? aliemuonyesha kwao huyo jamaa ni nani?si ni yeye mwenyew?!! Aache unafiki wake. Hataki amwambie sitaki basi.
Hajachelewa.
 
Halafu unakuta mtu anawasumbua kwa michango kumbe mambo yenyewe ndo haya.
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh sasa siku zote hizo alikuwa anakaa nae wanin, mwambie aolewe tu maana huyo ndio mume wake, na hao anaohisi yeye anawapenda ni waume wa watu wengine.
 
Kupendwa usipopenda. Nao ni utumwa mwingine.
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Jaza mimba atampenda automatical
 
apende anapopendwa apunguze mapepe au muache umri uende awe dungaembe lihangaike tu aanze kwenda kwa mganga kuwa ana nux
 
ha haha mwambie asubirie miaka ileee ya msuto ataolewa na yeyote atakayekuja mbele yake
 
Dah hii kitu imesha nitokea ila nashukuru mungu yule dada alikuwa mkweli kwangu akaniambia yeye anamtu mwingine ambae ana sifa anazo taka na ameamua kuwa na huyo mtu ilini umiza sana lakini ikaenda ikapita nimesha sahau,ila nilimshukuru sana yule dada kwa kuwa mkweli kwangu japo ukweli una uma!!,.
Uyo dada ni bora kama anaona hawezi awe mkweli kwa uyo mtu kwanini tupotezeane mda hii kitu akiacha iendelee ita mletea shida badae, tena sio shida ndogo kama awezi kusema yeye kama yeye atafute mtu anae ona uyu jamaa yake atamuelewa aende amwambie kuvunja uchumba sio dhambi hata dini zina ruhusu na jamii inajua hilo uchumba ni kuchunguzana kuna vitu nimeviona sijalizishwa navyo nimebadili maamuzi, nani atakulazimisha?
ILA ASISAHAU MKATA PEMA BABAYA PANA MWITA
 
Mwambie shogako atuondole hashuo lake la Mbirimbi,dunia ya leo nani asie jua kizuri? asikuchoshe akili yako shosti,mwambie kuna shosti JF kasema atakusaidia kukumalizia tatizo anipe number ya huyo mkaka ntamwambia kwa
umakini na I promise hato mchukia wala kulipiza kisasi,haya nenda shosti unilete number yake nimsaidie utu nikusaidiana..
 
Mwambie ni heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Kosa sio kutompenda,kosa ni kumkubalia na kumfanya asubiri muda wote huo akiamini anapendwa,hakuna kitu kibaya kama kumpotezea mtu muda wake.Muda ni mali kushinda mali zooote zile unazozifikiria.Hajatenda haki lakini kuolewa na huyu mtu sio suluhisho,atajitesa na kumtesa jamaa bure.Asiolewa kwa kumuhurumia mtu aolewe kwa kumpenda.Ampasulie mbao jamaa akijiua sawa,akiendelea na maisha yake sawa,furaha inaanza na wewe sio mtu mwingine mkuu.ZINGATIA Kumuacha mtu aliyesubiri muda mrefu hakujawahi kumuacha mtu salama.
 
Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.

Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.

Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.

Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.

The floor is yours wapendwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
mwache ahangaike atakipata anachokitafuta
 
Back
Top Bottom