Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji122][emoji122][emoji122]Hapo ndio anapokosea rafiki yako Basi. Mwambie achague Moja kabla hajaingia kwenye hicho kufungo. Wala asijilazimishe. Ana haki na wajibu kusikiliza moyo wake, Kama anaona hamna connection na jamaa aachane nae, asiolewe sababu umri unaenda au sijui Dunia itamshangaa, amwambie jamaa ukweli na ajiendee zake. Akkilazimisha ilhali moyo wake hautaki hiyo haitakuwa ndoa aisee, itakuwa jela kwa wote wawili.
Naomba nitofautiane na wengi wanaomshangaa na kumshangaa anaachia ndoa. Ndoa sio fashion.
Kama haridhiki na jamaa aachane nae japo kashakosea kumpotezea jamaa muda wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh sasa siku zote hizo alikuwa anakaa nae wanin, mwambie aolewe tu maana huyo ndio mume wake, na hao anaohisi yeye anawapenda ni waume wa watu wengine.Habari zenu? Hope mu wazima!!
Binadamu tuna mawazo tofauti sana, namaanisha kila mmoja ana namna Mungu alivyomjalia hekima.
Ninaomba mnipe ushauri wa kumshauri huyu mtu maana hadi sasa analia tu.
Main body: Nina jirani yangu wa kike ambaye sahivi ni kama rafiki kabisa kwangu. Kuna kaka alimpenda tangu akiwa mwaka wa kwanza chuoni na kaka alikua mwaka wa tatu, yule kaka alilenga kumuoa dada huyu. Alimsubiri hadi ahitimu masomo yake ya chuo, akahitimu, yule kaka akamwambia kwamba "tayari umehitimu sasa nikuoe" Dada akajibu kwamba hadi apate kazi, haya, amepata kazi hapa Dar lakini moyo wake ni kama uko mbali na kaka yule kimapenzi, hadi amemvisha Pete ya uchumba, na mahari katoa, harusi ni 16/9/2017, Dada analia tu kila siku eti hajiskii kuolewa na kaka yule, yaani anaumia kila siku inapokatika.
Sasa jamani, afanyeje dada huyu? Kaka yupo committed na anampenda sana, lakini huyu dada ndo hvo tena.
The floor is yours wapendwa!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu? Hope mu wazima!!

mkuu rekebisha huo uzi wako,jf inatembelewa na wengi zaidi ya tunavyofikiria,o doa taarifa ambazo zinawatambulisha wahusika
mwache ahangaike atakipata anachokitafutaHabari zenu? Hope mu wazima!!