Mkuu, hivi umemaanisha hiki ulichosema?Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Katumia vernacular language contrary na kanuni za NEC.NEC hawakuwa wajinga kusema kitumike kiswahiliKuna ukabila kusema wanyumbani karibu? Au itashangaza kuchagua mtu ambae sio wa nyumbani? Maana hajasema chagueni msukuma mwenzenu.
I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguziReview your thinking capacity
Ni Kanuni ngapi mpaka sasa zimevunjwa na wagombea mkuu na bado wanaachwa?Katumia vernacular language contrary na kanuni za NEC.NEC hawakuwa wajinga kusema kitumike kiswahili
Kwa hiyo kawadanganya? Hao wa Geita hawadanganyiki, wanajua anayewafaa. Na mtoto wa Nyumbani wanamjua sijui ni Antipass au John .Mtoto yupi ni wanyumbani? Usiongee usichokijua.
Kwa hiyo ,Burundi amekuwa Geita?Humjui huoni hata mabango hapa geita yameandikwa karibu Nyumbani JPM
Una upeo mdogo sana,two wrongs dont make it right ,tukemee hizo kanuni zilizovunjwa bila kujali nani kavunjaNi Kanuni ngapi mpaka sasa zimevunjwa na wagombea mkuu na bado wanaachwa?
I don't have any problem with CCM "great victory", whether landslide or whatever and I didn't ask you to change your words. Just review your thinking capacity!I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguzi
Aliongea kilugha lakini hakuwa kwenye kampeni sheria ile ya maadili ya uchaguzi inatumika kipindi cha kampeniNyumbani ni nyumbani mtu kwao hata Lisu aliongea kilugha kwao
Utakemeaje sasa Kwa mkosaji wa pili pekee ikiwa Yule wa Kwanza ulikaa kimya?tukemee hizo kanuni zilizovunjwa bila kujali nani kavunja
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Upuuzi ulianzia kwako, pale uliponyamaza kumkea huyo Lulu wenu pale alipokuwa akiwahutubia Wanyaturu pale SingidaUtetezi wa kipuuzi kabisa. Haya ndio tunayosema ni matumizi mabaya ya madaraka.
Haswaa!! Mkuu, kwani wewe hukumbuki pale Singida? Si yalifanyika hayahaya?Mkuu, hivi umemaanisha hiki ulichosema?
Ondoeni hilo jiniwavuvi nizamu yetu kwaumoja wetu tumedhulumiwa sana tusijilaumu