Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Mkuu, hivi umemaanisha hiki ulichosema?
 
Kuna ukabila kusema wanyumbani karibu? Au itashangaza kuchagua mtu ambae sio wa nyumbani? Maana hajasema chagueni msukuma mwenzenu.
Katumia vernacular language contrary na kanuni za NEC.NEC hawakuwa wajinga kusema kitumike kiswahili
 
Mtoto yupi ni wanyumbani? Usiongee usichokijua.
Kwa hiyo kawadanganya? Hao wa Geita hawadanganyiki, wanajua anayewafaa. Na mtoto wa Nyumbani wanamjua sijui ni Antipass au John .
 
itabidi tumuombe mkuu Maxence Melo atuwekee translation ya kisukuma kwenda kiswahili, maana si kwa joto hili la kilugha!
 
I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguzi
I don't have any problem with CCM "great victory", whether landslide or whatever and I didn't ask you to change your words. Just review your thinking capacity!
 
Yesu Wa Lugola ,Leo Anaingia Chattel (Jerusalem) Haa😀😁😂😄😄😄
 
tukemee hizo kanuni zilizovunjwa bila kujali nani kavunja
Utakemeaje sasa Kwa mkosaji wa pili pekee ikiwa Yule wa Kwanza ulikaa kimya?

Okey, nimekupata na hata hivyo ulichokiongea inaonyesha umeshiba Hekima hasa ukipungiza mahaba ya ivyama
 
hakuna cha kushangaa hapa kwani awamu hii imekuwa ya; ukanda, ukabila, upendeleo nakubaguana tena waziwazi na bila kificho. Naamini mtu kama Lissu akienda kwao Singida hawezi kutumia maneno haya ya kubaguzi.
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe

Utetezi wa kipuuzi kabisa. Haya ndio tunayosema ni matumizi mabaya ya madaraka.
 
Utetezi wa kipuuzi kabisa. Haya ndio tunayosema ni matumizi mabaya ya madaraka.
Upuuzi ulianzia kwako, pale uliponyamaza kumkea huyo Lulu wenu pale alipokuwa akiwahutubia Wanyaturu pale Singida
 
Wasukuma hawajui kiswahili ndo maana wengi ni washamba ,wagombea wenyewe hata magu mwenyewe hajui kiswahili fasaha sentensi moja shida lazima aongee kiswahili broken sembuse wananchi ambao ni wasukuma halisi
 
Tukisema kuwa ccm ipo icu mnadhani tunakuwa tuna maanisha utani?
 
Back
Top Bottom