Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Kisukuma hakina tatizo bali tatizo ni pale anaposema chagua kabila lako, hivi na anayeajiri akisema anaajiri kabila lake tuu unaona ni sawa?
 
Na TUME YA UCHAGUZI hawasemi lolote wakati sheria inataka lugha ya kiswahili ndio itumike
 
Pumbavu! Unaingiza ukada wako wa CCM kwenye mambo muhimu ya Taifa. Huyo msukuma wenu naye ni mpumbavu, kwani haelewi kuwa anapanda mbegu ya ukabila nchini.

Shithole!
Ileje wewe ni mpumbavu pekee hapa!

Wewe ni hasara tupu juu ya Taifa hili, wewe ni Kula kunya huna maana wewe! Nitakuona wa maana hayo matusi ukiyaelekeza Kwa huyo aliyeanza Nayo pale Singida Kwa kuongea nao kilugha Chao huku akijua ni makosa!

Hofu yako na wasiwasi wako ni wasukuma kuongea kisukuma Chao, Ila sio Wanyaturu kuongea kinyaturu Chao siyo? Wewe huna maana
 
Ileje wewe ni mpumbavu pekee hapa!...
Sasa ndiyo umejidhihirisha kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu. Tunajadili mambo ya kitaifa wewe unakuja na kisukuma chako kuonyesha ushamba wako.

Mama yako anajuta kuzaa mtoto laana?
 
Ukisikia kubomoa paa la nyumba ili ujenge mlango ndiko huku...., tunapandikiza chuki na ukabila...

Kazi kubwa aliyofanya Mwalimu ya kutuunganisha inaharibiwa leo...., kwa manufaa ya nani... (who knows); ila definitely not Tanzania...
Kweli kabisa aisee . . inakera to the maximum. Hivi ni kwa nini hata wasaidizi wake wasimwambie kuwa anachanganya madawa . ?
 
Sasa ndiyo umejidhihirisha kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu. Tunajadili mambo ya kitaifa wewe unakuja na kisukuma chako kuonyesha ushamba wako.
Mama yako anajuta kuzaa mtoto laana?
Siwezi kukulaumu Kwa sababu pia wajinga nao ni binadamu, nao ni wa mhimu, Kwa kuwa watu wooote duniani wangekuwa welevu, Neno Ujinga lisingekuwepo, lakini lipo Kwa kuwa wajinga kweli Wapo, Wewe ni mmoja wa hao wajinga wasioelewa hata maana ya kile mtu ameuliza,

Yaani hata hapo hjaelewa?Ongeza lishe labda unaweza kuondokana na upumbuvu wa udumavu wa uelewa, nimekupuuza rasimi sasa!
 
Nchi inaingizwa rasmi katika vita ya ukabila.
 
Wamchague na sisi ambao siyo wasukuma tutaamua pa kupeleka kura zetu.
 
Kama alisema msukuma, huyu ni mtu wa kusamehe. Ndio mwisho wake wa kufikiri hapo.
 
Naona wanafunzi wanazidi kusombwa tu kupelekwa kujaza uwanja, leo masweta ya blue na kijani ya wanafunzi yametamalaki
 
Magu mkabila sana na anatuharibia nchi yetu uliyokuwa nzuri. Amefanya ukabila na watu wengi lakini huwa hawamjibu; ametumia Bashite, Gwajima na wengine wengi tu. Jamani huyu mtu hatufai kabisa ni hatari kwa umoja wetu.
 
Ukisikia kubomoa paa la nyumba ili ujenge mlango ndiko huku...., tunapandikiza chuki na ukabila...

Kazi kubwa aliyofanya Mwalimu ya kutuunganisha inaharibiwa leo...., kwa manufaa ya nani... (who knows); ila definitely not Tanzania...
Tulieni Dawa Iwaingie Kwani Ubaya upo wapi nyie Mbona mnaongea Kingerezaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…