Pimbi huyo, namjua ana kichwa kikubwaaa halafu kipo transparent, unaona hadi ndani, hana ubongo kabisaMkuu, hivi umemaanisha hiki ulichosema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pimbi huyo, namjua ana kichwa kikubwaaa halafu kipo transparent, unaona hadi ndani, hana ubongo kabisaMkuu, hivi umemaanisha hiki ulichosema?
Kisukuma hakina tatizo bali tatizo ni pale anaposema chagua kabila lako, hivi na anayeajiri akisema anaajiri kabila lake tuu unaona ni sawa?Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Hapana mkuu, huko siafiki hata kidogoKisukuma hakina tatizo bali tatizo ni pale anaposema chagua kabila lako, hivi na anayeajiri akisema anaajiri kabila lake tuu unaona ni sawa?
Ileje wewe ni mpumbavu pekee hapa!Pumbavu! Unaingiza ukada wako wa CCM kwenye mambo muhimu ya Taifa. Huyo msukuma wenu naye ni mpumbavu, kwani haelewi kuwa anapanda mbegu ya ukabila nchini.
Shithole!
Sasa ndiyo umejidhihirisha kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu. Tunajadili mambo ya kitaifa wewe unakuja na kisukuma chako kuonyesha ushamba wako.Ileje wewe ni mpumbavu pekee hapa!...
Kweli kabisa aisee . . inakera to the maximum. Hivi ni kwa nini hata wasaidizi wake wasimwambie kuwa anachanganya madawa . ?Ukisikia kubomoa paa la nyumba ili ujenge mlango ndiko huku...., tunapandikiza chuki na ukabila...
Kazi kubwa aliyofanya Mwalimu ya kutuunganisha inaharibiwa leo...., kwa manufaa ya nani... (who knows); ila definitely not Tanzania...
Ujinga mkuu. Ninakasirishwa sana ninapoona baadhi ya watu wakiutukuza ukabilaChanganya na udini humo.waislamu wanaisoma namba hawapati teuzi
Siwezi kukulaumu Kwa sababu pia wajinga nao ni binadamu, nao ni wa mhimu, Kwa kuwa watu wooote duniani wangekuwa welevu, Neno Ujinga lisingekuwepo, lakini lipo Kwa kuwa wajinga kweli Wapo, Wewe ni mmoja wa hao wajinga wasioelewa hata maana ya kile mtu ameuliza,Sasa ndiyo umejidhihirisha kuwa wewe ni mjinga na mpumbavu. Tunajadili mambo ya kitaifa wewe unakuja na kisukuma chako kuonyesha ushamba wako.
Mama yako anajuta kuzaa mtoto laana?
Haukuwaa mkutano wa kampeni.Kilichofanyikaga pale singida mh Lisu akiongea na Wanyaturu kilikuwa ni Kiswahili kweli kile?
Kanuni zikivunjwa na ccm hakuna tatizo, nec wanainuka tu pale zinapovunjwa na wapinzaniNi Kanuni ngapi mpaka sasa zimevunjwa na wagombea mkuu na bado wanaachwa?
Kwa hiyo kosa hilo likifanyika kwa Lissu unaona sawa tu RAISI anapohusishwa nalo? Alitakiwa yeye alikemee.Kilichofanyikaga pale singida mh Lisu akiongea na Wanyaturu kilikuwa ni Kiswahili kweli kile?
Tulieni Dawa Iwaingie Kwani Ubaya upo wapi nyie Mbona mnaongea KingerezaaaUkisikia kubomoa paa la nyumba ili ujenge mlango ndiko huku...., tunapandikiza chuki na ukabila...
Kazi kubwa aliyofanya Mwalimu ya kutuunganisha inaharibiwa leo...., kwa manufaa ya nani... (who knows); ila definitely not Tanzania...