Inaonekana unafikiria karibu sana.hiyo ikulu kwani ccm wamekaa nayo miaka mingapi?. nchi si ni hii hii,kuna jambo jipya?..watu wanaongelea mustakabali wa taifa kwa miaka mingi ijayo wewe unawaza ikulu.Usijifanye hujui madhara ya ukabila.Nanikwambie tu kua huo ukabila ukishamiri ata hiyo ikulu unayotambia mtaiona chungu.Ni mjinga pekee nfiye anayeweza kushabikia huu ujinga.I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguzi
Mkuu sishabikii, napinga Kwa nguvu zangu zote Ujinga wa kuendekeza dhana zilizopitwa na Wakati, Ukabila?? Hautufai na hautatufaa, utanzania ndio kila kituInaonekana unafikiria karibu sana.hiyo ikulu kwani ccm wamekaa nayo miaka mingapi?. nchi si ni hii hii,kuna jambo jipya?..watu wanaongelea mustakabali wa taifa kwa miaka mingi ijayo wewe unawaza ikulu.Usijifanye hujui madhara ya ukabila.Nanikwambie tu kua huo ukabila ukishamiri ata hiyo ikulu unayotambia mtaiona chungu.Ni mjinga pekee nfiye anayeweza kushabikia huu ujinga.
Matokeo yake leo tumeyaonaNyerere alishawahi kuonya, ni hatari kwa kabila kubwa kuongoza Taifa, kwamba Rais anatakiwa atokee kwny vikabila vidogovidogo, ndo ukabila hautakuwepo
Tume ya Uchaguzi haina meno, IGP Sirro alisiskika siku moja akisisitiza wana siasa kuhusu kufanya kampeni za kistaarabu, sasa anatakiwa amkamate kwa huyo Meko (kwa kuendekeza Ukabila) ili Tume ya Uchaguzi wapate pa kuanzia.Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Haya makabila makubwa watu wake hawana ustaarabu na wingi waoNyerere alishawahi kuonya, ni hatari kwa kabila kubwa kuongoza Taifa, kwamba Rais anatakiwa atokee kwny vikabila vidogovidogo, ndo ukabila hautakuwepo
Sijaelewa lengo lako, lakini nikusaidie kidogo mh Tabasamu ni Mchagga wa rombo na alihamia sengerema miaka kumi iliyopita akiwa dereva wa daladala, unaposema usukuma sikuelewi. Mh Shigongongo ni Mzinza na hilo jina la shigongo ni jina la utani yeye anaitwa Eric huo usukuma unasemaje? mgombea udiwani wa geita mjini ni mchagga anaitwa Macha huo usukuma uko wapi hapo?Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Jamani wanaharibu tu watoto kisaikolojia.Wanaombea wenyewe mikutanoni kumejaa watoto tupuView attachment 1564278View attachment 1564280
Angekuwa Mchagga au Mhaya amefanya hivyo kule Moshi au Bukoba hamna rangi angeacha kuonaNi kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
hawa ndio wapiga kura wa 2025, sisi hatuhangaiki na watu waliopigika kimaisha kwa uzembe na kutotaka kufanya kazi,Jamani wanaharibu tu watoto kisaikolojia.
Kwani kuna tatizo gani kutumia kisukuma, akiongea kiingereza mbona hamsemiInasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Au mnataka kusema Lissu anaruhusiwa kuongea kinyaturu kwao na siyo Magufuli kwao.Tatizo mmeweka chuki kwa Magufuli kuzidi kiwangoNyumbani ni nyumbani mtu kwao hata Lisu aliongea kilugha kwao
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Tarizo shule.Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.
Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.
Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Sasa hao hata 2025 watakuwa hawajafika 18.Waacheni watoto wakue bwana. Msiwachanganye issue za siasa mara kuongeza mishahara.hawa ndio wapiga kura wa 2025, sisi hatuhangaiki na watu waliopigika kimaisha kwa uzembe na kutotaka kufanya kazi,
Halafu wanawasema hawajasoma kama wao sasa wakiwasiliana kwa kisukuma wanadai ni kosa.Ujinga mtupu.Piga kelele kwa wasukuma weeeeeeeweKwani chadema mnataka kula za wasukuma si washamba mnasema hahahaha
Wee jamaa huna akili mpaka unaboa.. Yaani kwenye hoja nzito na muhimu kwa mustakbali wa Taifa letu kama hii wewe unaweka utumbo wako hapo..Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe