Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguzi
Inaonekana unafikiria karibu sana.hiyo ikulu kwani ccm wamekaa nayo miaka mingapi?. nchi si ni hii hii,kuna jambo jipya?..watu wanaongelea mustakabali wa taifa kwa miaka mingi ijayo wewe unawaza ikulu.Usijifanye hujui madhara ya ukabila.Nanikwambie tu kua huo ukabila ukishamiri ata hiyo ikulu unayotambia mtaiona chungu.Ni mjinga pekee nfiye anayeweza kushabikia huu ujinga.
 
Hapo tume watakaa kiiimya....kiukweli kinachofanyika na Jpm ni kinyume kabisa na kanuni na maadili ya uchaguzi
 
Inaonekana unafikiria karibu sana.hiyo ikulu kwani ccm wamekaa nayo miaka mingapi?. nchi si ni hii hii,kuna jambo jipya?..watu wanaongelea mustakabali wa taifa kwa miaka mingi ijayo wewe unawaza ikulu.Usijifanye hujui madhara ya ukabila.Nanikwambie tu kua huo ukabila ukishamiri ata hiyo ikulu unayotambia mtaiona chungu.Ni mjinga pekee nfiye anayeweza kushabikia huu ujinga.
Mkuu sishabikii, napinga Kwa nguvu zangu zote Ujinga wa kuendekeza dhana zilizopitwa na Wakati, Ukabila?? Hautufai na hautatufaa, utanzania ndio kila kitu

Ila ujinga ni pale wewe unapoona kibanzi jichoni Kwa wengine ilihali na kwako lipo, Tulipaswa kutokuunga mkono na Tulipaswa kukemea pale tu Kinyaturu kilipotawala hotuba ya Lulu yenu msiopenda isemwe Kwa lolote

Ila naungana na woote wanaolaani Kwa namna yoyote ya kuendekeza na viashilia vyovyote vya ukanda na Ukabila
Tanzania ni moja Nayo ni Mimi na wewe
 
Nyerere alishawahi kuonya, ni hatari kwa kabila kubwa kuongoza Taifa, kwamba Rais anatakiwa atokee kwny vikabila vidogovidogo, ndo ukabila hautakuwepo
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Tume ya Uchaguzi haina meno, IGP Sirro alisiskika siku moja akisisitiza wana siasa kuhusu kufanya kampeni za kistaarabu, sasa anatakiwa amkamate kwa huyo Meko (kwa kuendekeza Ukabila) ili Tume ya Uchaguzi wapate pa kuanzia.
 
Nyerere alishawahi kuonya, ni hatari kwa kabila kubwa kuongoza Taifa, kwamba Rais anatakiwa atokee kwny vikabila vidogovidogo, ndo ukabila hautakuwepo
Haya makabila makubwa watu wake hawana ustaarabu na wingi wao
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Sijaelewa lengo lako, lakini nikusaidie kidogo mh Tabasamu ni Mchagga wa rombo na alihamia sengerema miaka kumi iliyopita akiwa dereva wa daladala, unaposema usukuma sikuelewi. Mh Shigongongo ni Mzinza na hilo jina la shigongo ni jina la utani yeye anaitwa Eric huo usukuma unasemaje? mgombea udiwani wa geita mjini ni mchagga anaitwa Macha huo usukuma uko wapi hapo?
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Angekuwa Mchagga au Mhaya amefanya hivyo kule Moshi au Bukoba hamna rangi angeacha kuona
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Kwani kuna tatizo gani kutumia kisukuma, akiongea kiingereza mbona hamsemi
 
Nyumbani ni nyumbani mtu kwao hata Lisu aliongea kilugha kwao
Au mnataka kusema Lissu anaruhusiwa kuongea kinyaturu kwao na siyo Magufuli kwao.Tatizo mmeweka chuki kwa Magufuli kuzidi kiwango
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila Tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?

Kwani chadema mnataka kula za wasukuma si washamba mnasema hahahaha
 
Tarizo shule.
Au kama shule ipo ni kutokuelimika maana unaweza kuwa na shule lakini usielimike
 
hawa ndio wapiga kura wa 2025, sisi hatuhangaiki na watu waliopigika kimaisha kwa uzembe na kutotaka kufanya kazi,
Sasa hao hata 2025 watakuwa hawajafika 18.Waacheni watoto wakue bwana. Msiwachanganye issue za siasa mara kuongeza mishahara.
 
Kwani chadema mnataka kula za wasukuma si washamba mnasema hahahaha
Halafu wanawasema hawajasoma kama wao sasa wakiwasiliana kwa kisukuma wanadai ni kosa.Ujinga mtupu.Piga kelele kwa wasukuma weeeeeeewe
 
Matunda ya Miaka 43 ya Utawala wa CCM Maradhi, Ujinga na Umaskini wa kutupwa. Walau wakati wa TANU hawajamaa walikuwa wanakondeana... tangu CCM ifanye Azimio la Zanzibar 1992, kasi ya unono na ukibonge inaongezea maradufu!
 
Unaambiwa ongea lugha nyepesi ambayo watu wa eneo husika wataelewa.
Viva JPM.
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu. Acha tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Wee jamaa huna akili mpaka unaboa.. Yaani kwenye hoja nzito na muhimu kwa mustakbali wa Taifa letu kama hii wewe unaweka utumbo wako hapo..

Nakuambia ningekua Mod ningekupa hata BAN ya mwaka utulie nje, labda akili yako itatulia
 
Back
Top Bottom