Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Wewe mwenyewe ni msukhumaNi kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Sent using Jamii Forums mobile app