Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Uchaguzi 2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

Wasukuma hawajui kiswahili ndo maana wengi ni washamba ,wagombea wenyewe hata magu mwenyewe hajui kiswahili fasaha sentensi moja shida lazima aongee kiswahili broken sembuse wananchi ambao ni wasukuma halisi
Hii siyo sawa
 
I do not change my words I have written and even if they do not speak the language, CCM still has a great victory, Ni hasira zenu za awali za kuikosa Ikulu hata kabla ya uchaguzi
Sifa kuu ya mpumbavu ni hiyo ya kukomaza shingo. Thinking capacity sifuri... ccm has great victory ... hata kabla ya uchaguzi!
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Sheria za Uchaguzi zinakataza. Halafu CCM kutwa ndio wanazungumzia umoja na mshikamano. Mimi mwenyewe ni Msukuma lakini sikubaliani na haya mambo.
 
Mkuu,Ndiyo maana huwa nakwambiaga kwamba, kuvunjiana heshima sio Jambo la Afya hata kidogo, Hadi naamua kujiunga humu, awali nilikuwa ni msomaji mzuri wa michango ya watu hapa JF, na tayari Hadi najiunga Jf, kuna watu ambao tayari nilikuwa nawakubali na kuwaheshimu, ni pamoja na wewe mkuu,

Mfano hapo ulichoongea ni umeamua kuinyima nafs yako ukweli,

Hembu nikuulize, unaposema kwamba,Lisu aliongea ki Lugha kule kwao eti si Wakati wa kuomba Kura na hakuvunja Kanuni za uchaguzi, Je Kanuni za uchaguzi huanzia kipindi kipi, ni kipindi chote tangu kuomba wadhamini au ni Wakati wa Kampeni pekee?
Unpolished, uncouth, unpalatable, nincompoop, savage Silly. Ndio wale wa ... Hembu! Hatari.
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
2010,mambo yalipo chachamaa,Kikwete alitumia udini zaidi,kutafuta kura,maana maji yalifika shingoni,huyu nae,mambo yamemchachia ameamua kutumia ukabila.
 
Basi angetumia hata lugha hii maana nayo ni official.

Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka.

Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija ole msukuma ahudhurie baada ya Uchaguzi wataonana.

Huu ukabila tume ya Uchaguzi haioni kuwa ni kuligawa taifa?
Nyerere angekuwepo huyu mzee angemalizwa. Hata hivyo mzimu wa Nyerere hautamuacha salama. Mbaya zaidi kesho akienda Kilimanjaro atasema maendeleo hayana kabila!
 
Kwanini asiongee kisukuma?Ikiwa tayari kaomba Kura kwa kiswahili, na kila mtu anayeelewa lugha hiyo akasikia,Kuna ubaya gani akiwaomba wale wengine wasiojua kiswahili kwakutumia lugha wanayoifahamu(kisukuma)🤔?
Dhima kuu ya lugha Ni kufikisha ujumbe, haijalishi Ni ipi.Kimsingi Mimi sioni sababu ya wewe kubweka🗣️hapa, Jf.
 
Nyerere angekuwepo huyu mzee angemalizwa. Hata hivyo mzimu wa Nyerere hautamuacha salama. Mbaya zaidi kesho akienda Kilimanjaro atasema maendeleo hayana kabila!
Nyerere huyuhuyu, ambaye mnamdhihaki, na kumponda 🤔? Hebu acheni unafiki.
 
Ni kawaida, kule nimewahi kuishi, kuna wazee kule hawajiu Kiswahili hata cha kuombea maji tu,
Acha Tu mkuu waombwe Kura Kwa lugha Yao ileile!! Na nadhani hakuna ubaya Ila tu mtizamo tu ulionao wewe
Pumbavu! Unaingiza ukada wako wa CCM kwenye mambo muhimu ya Taifa. Huyo msukuma wenu naye ni mpumbavu, kwani haelewi kuwa anapanda mbegu ya ukabila nchini.

Shithole!
 
Hata alipokua dodoma alimuomba dereva wake amuombee kura kwa lugha ya wagogo
 
Nyerere:"Hatumchagui mtu kuwa Rais kwa kabila lake wala dini yake"!

Magufuli:"Nichagueni mimi msukuma mwenzenu,mtoto wa nyumbani"
Halafu juzi akiwa Musoma akawambia Wajeluo waache ukabila...

Ilhali yeye anahubiri ukabila kwa wasukuma wenzake...

meko must go
 
Mkapa na Kikwete nao pia waliomba kura kwa kilugha?
Changamsha ubongo huo acha kufikiri kama kondoo
Mkuu maccm wengi wanawaza kwa makalio, ni vigumu kukuelewa...

Ukabila umeshamiri sana awamu hii...na hawalioni hili
 
Back
Top Bottom