Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
 
Michango ya harusi nje ya family members ni FRAUD and I usually don't entertain such disgusting culture😎
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
IShakuwa biashara kabisa
 
kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
Bila aibu mwanaume unazungusha kadi eti za mchango wa hharusi.
What hell is that!!!
 
Hii dhana niliipinga tangu kitambo watu hawakunielewa.

Ndoa siku hizi hazina hata heshima.

Wife mtarajiwa anakuona unavyohangaika kupiga magoti upate michango......mpaka hapo ushapoteza Manhood kabla ya ndoa.

Kuna vitu unatakiwa Mke wako asivijue. Hata ukiwa na madeni ficha aibu hii
 
Sa tusipofanya harusi na kukesha na matarumbeta majirani watajuaje kama tumeolewa😊.....

Mi ntaolewa lulu majizzo style.watu wachcahe pande zote mbili,vinywaji na catering ya watu 50 tu
Hata Kwa budget ya mil 3 unafanya mwenyewe Tena nyumbani.usiku mnene Kila mtu arudi kwao.ismeisha

Mipango mingi mume mwenyewe sina
 
Back
Top Bottom