REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Usisubilie mafanikio ya kimaisha makubwa ndio uoe oa mapema ndoa isiwe big issue kwako ukachosha watu kwa vikao nk kwa tukio la dakika 20Kwahiyo unashauri nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisubilie mafanikio ya kimaisha makubwa ndio uoe oa mapema ndoa isiwe big issue kwako ukachosha watu kwa vikao nk kwa tukio la dakika 20Kwahiyo unashauri nini?
Hahahaungemjibu kujisikia kwake sio kipaumbele chako🤗
Shida hamjui kitu na mnaharibu system mliyokuta wenzenu wanapita.Shida ni nini?
Wewe endelea kua na adabu mkuu
Wewe ukiwa na adabu inatosha
Akhu! Mbona mi nimeenda kwa shemeji yako kwa bata wawili tyuuu..!! 😹Qashy Lilith
Lamomy
BRAZA CHOGO
Nasikia hamuendi bila
👉 Bridal shower
👉 Kitchen party
👉 Single
👉 Engagement
👉Send off
Ila wanawake mko na shughuli wallah
Aseeh Ila harusi zenu watu wa kariakoo mnafunga jiji aseeh 😂Akhu! Mbona mi nimeenda kwa shemeji yako kwa bata wawili tyuuu..!! 😹
Nimeenda ghetto ikawa ndo ntolee sijarudi tena home..!! 🏃♀️🏃♀️
Umesahau zawadi za kamati, huwa tunatoa mitaji maharusi washindwe wao kuendesha maisha..!!Aseeh Ila harusi zenu watu wa kariakoo mnafunga jiji aseeh 😂
Kuna moja niliona ukumbi mzima ni sare, mpaka najiuliza Ina maana walishonewa ukiangalia video na picha quality zake ni amsha
Bado decorations ilivyo, msosi, nguo walizovaa....
Mimi yangu ni hapo ilala boma saa hz nipo nyumbani nafunga mchicha bwasi nikatembeze 😂
Nimesahau aseeh so zile kamati za kutoa hundi fake, kumbe geresha 😂😂Umesahau zawadi za kamati, huwa tunatoa mitaji maharusi washindwe wao kuendesha maisha..!!
Eti inaitwa kuvunja kamati.Kinachonishangaza mwishonwa shereh wale kamat wanakaa nakuanza kugawana hela zilizobaki
Wiki mbili zilizopita nimetoka kwenye sherehe ya ndoa ya mfanyakazi wangu mmoja,eti zawadi ya kamati wamempa jokofu ilhali naye analo jokofu!!Umesahau zawadi za kamati, huwa tunatoa mitaji maharusi washindwe wao kuendesha maisha..!!
Zile sio fake ni michango ambayo inabaki baada ya hesabu zote zinazofanywa na kamati..!!Nimesahau aseeh so zile kamati za kutoa hundi fake, kumbe geresha 😂😂
Mkiingia ndani ya ndoa kitaumana!!
Itakuwa kamati haina pesa 😹Wiki mbili zilizopita nimetoka kwenye sherehe ya ndoa ya mfanyakazi wangu mmoja,eti zawadi ya kamati wamempa jokofu ilhali naye analo jokofu!!
Wanakamati buku duuh 😂....Zile sio fake ni michango ambayo inabaki baada ya hesabu zote zinazofanywa na kamati..!!
Inategemea na kamati ina pesa kiasi gani? Unakuta wanakamati wapo 1000 na wote kiwango cha chini laki, hapo kuna watakaoahidi laki 5 wengine million.!! Bado zile kadi za double na single, mnaweza kuwa na pesa nyingi sana, so mkitoa gharama za vyakula, vinywaji, ukumbi, location ya picha, music, mapambo nakujaza gari mafuta zinazokuwa kwenye msafara. Bado mnabakiwa na pesa nyingi..!!
Mimi huwa sichangii mtu yoyote anaetaka mchango wa harusi,siwezi mkamilishia furaha yake,Michango ya harusi nje ya family members ni FRAUD and I usually don't entertain such disgusting culture😎
Watu wamekua wajinga sana hasa wanao wachangia,mpaka ubarikio wanchangishaAcha hiyo ya harusi, Kuna mama huku anachangisha michango kwa ajili ya kufanyia arobaini ya mtoto wake aliefariki. Maisha yanaenda Kasi Sana.
Most of the money goes to contractors, si kwa maharusi😇Unakuta MC 7 milioni
Ni Scam iliyohalalishwa na jamiiMimi huwa sichangii mtu yoyote anaetaka mchango wa harusi,siwezi mkamilishia furaha yake,
Muda ambao anapanga kuomba akusanye zake aalike watu kama sherehe ni watu,ila akifanya yake na familia yake pia ni sawa.
Unapanga budget ya harusi 23 million alafu 20 anataka apewe ,ni akili hii ama matope?
Hamjasema bado,mpk msemeShida hamjui kitu na mnaharibu system mliyokuta wenzenu wanapita.
Uzuri ni kwamba kufikia 2030 kutakuwa hakuna KUPIGA DILI.Na kenge kama wewe mtakuja kulialia hapa JF kutaka mpewe miongozo.
Nyie mbulukenge kubalini hamjui mfundishwe,acheni tamaa na maisha ya showoff.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa tusipofanya harusi na kukesha na matarumbeta majirani watajuaje kama tumeolewa[emoji4].....
Mi ntaolewa lulu majizzo style.watu wachcahe pande zote mbili,vinywaji na catering ya watu 50 tu
Hata Kwa budget ya mil 3 unafanya mwenyewe Tena nyumbani.usiku mnene Kila mtu arudi kwao.ismeisha
Mipango mingi mume mwenyewe sina