Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Oyaah brother na uchagaa huu sitoi kitu ariiiifuu 😂


Mtu sio bikra, keshapigwa finga side zote afu ety unajua huna hela Mara nimesoma academy

Ko aliambiwa i will come to refund her school fees paid during her school time au matunzo


Akadange tuu tununue tujue 😂
HAO MALAYA UNABUTUA UNAPITA HIVI🤝
 
Naelewa chifu

Ahh gigy anaongea ukweli mtupu aani

Anakwambia ndoa haiwez 😂😂
yule ni certified HOE GRADE 1🙌🙌

ANACHEZA MIGUU YOTE🙌🙌🙌

ANAEXPERIENCE TANGU MDOGO NA KASHENYENTWA MBAYA MBOVU MPAKA NA HAO MACELEB WA BONGO WAMEPONEA NA WANAENDELEA KUPONA HAPO🤝
 
yule ni certified HOE GRADE 1🙌🙌

ANACHEZA MIGUU YOTE🙌🙌🙌

ANAEXPERIENCE TANGU MDOGO NA KASHENYENTWA MBAYA MBOVU MPAKA NA HAO MACELEB WA BONGO WAMEPONEA NA WANAENDELEA KUPONA HAPO🤝
😂😂😂😝
 
Tdfuta hela usilalamike eh
Nina hela ila sina hela za kuchezea na kuchangia kwenye mikusanyiko ya MASIKINI wajingawajinga.

📌📌Trump ni billionea ila amegoma kuwahudumia MASKINI wa AFRICA.HAYA NENDA SASA KAMWAMBIE ATAFUTE HELA🥱

Masikini mjifunze kujisimamia na kusimamia matamanio yenu!!!

📌📌📌Unataka sherehe ya kifahari make sure you work hard and earn that money then go spend it!! uone kama kuna mtu atakuuliza.
 
It's your wedding, not ours, stop asking for contributions, Kama una elfu 50 oa hivyo hivyo alika watu wanne wanatosha
 
kwa kweli michango ya harusi ni ufala sana yan unamtoa mtu upepo kizembe wakat hiyo ni ishu yako, umeamua kuoa jipange mtu unategemea michango ndo uanzishe maisha.... what the https://jamii.app/JFUserGuide... mimi hua sitoi na yangu ntafanya kwa bajeti yangu kama ntaona inafaaa
 
mnaokuja kuomba michango hua mnatukara sana basi tu
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Sasa mbona ndo nilikua nachapisha kadi za Sendoff 🙆🏻‍♀️
 
Back
Top Bottom