kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Harusi tutachanga ila birthday HapanaUnashangaa harusi, watu birthday wana chapisha kadi afu usipomchangia anakununia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harusi tutachanga ila birthday HapanaUnashangaa harusi, watu birthday wana chapisha kadi afu usipomchangia anakununia.
Nataka kwenye hiko kikao Cha maharii niwepo niulizwe how much? Ndo baba mkwe ama mshenga atajua sina masiharaMnakaza mno
Olewa tukuchangie weweThank u for the offer🤣
Natafuta Maisha kwanza
Kama humpendi utaona ni nyingi mbona mobeto katolewa 30mNataka kwenye hiko kikao Cha maharii niwepo niulizwe how much? Ndo baba mkwe ama mshenga atajua sina masihara
Million tatu..... maharii, hela zote hizo!! afu hapo tunaishi single room siwezi fanya hiko kitu
huyu msamehe bruhPunguza hasira bwashee, kama unamuita mwenzio masikini mbona unadai michango?
Mke ni WA kwako au tukichanga utaruhusu aje atupiemo hata kimoja kwa mkeo?
Katolewa na nan?Kama humpendi utaona ni nyingi mbona mobeto katolewa 30m
Hadhi gani MIMBA KUSHIKA KWENYEWE KWA MBINDE, hadhi hanyi au hafi,pumbavu acheni umasikini.Mahari hutegemea hadhi ya mtu wako hadi wa elfu tano wengine hadi milioni 20 hadi 50
Katafute wa saizi yako mbona wako wengi tu wa bei hiyo
Usitarajie mtoto kasomeshwa acadeny International schools nk aje aolewe na wewe choka mbaya kwenu mumejaa kunguni na viroboto kwa mahari ya laki mbili
Mpuuzi katafute maskini wenzio size yako ukaoe huko kwa hizo laki mbili zako
Sio kesi kaoe wazungu.Uone mziki wake ruksa kwenda kaoe hata bureNyie mijitu myeusi mnahadhi ipi labda.Mtaendelea kuwadanganya wajingawajinga wenzenu.
Ndo imefanya kila mtu kwa sasa ni MC😀😀😀😀Unakuta MC 7 milioni
Acha niammke nitafute hela thamani ipande ya mahariKatolewa na nan?
Udangaji unalipa dearest! Unalijua Hilo
Nasemaje watoe wengine mm nitoe hata million moja navurugwa 😂
Hizo 29mio ni mtaji wa biashara tosha.....
Nawekeza kwa ajili ya wanangu! Aseh 👊
Bora umemjibu anadai kasoma academyHadhi gani MIMBA KUSHIKA KWENYEWE KWA MBINDE, hadhi hanyi au hafi,pumbavu acheni umasikini.
Nyie mijitu myeusi mnahadhi ipi labda.Mtaendelea kuwadanganya wajingawajinga wenzenu.
📌📌📌Mmesoma kupata vyeti ila hamjaelimika wala kustaarabika.Hulka za kujitweza ni za MAFUKARA waliobahatika kunusa MKONDO wa MALI NA PESA ZA KUBADILISHA MBOGA.ILA WATU AMBAO WAPO KWENYE MKONDO WA UTAJIRI NA MALI HAWAWEZI KUTOA KAULI ZA KIFISADI KAMA HIZO ZAKO!!!!
📌📌📌NYIE MIJITU MYEUSI NI KUNGUNI KABISA YAFAA MUWE ETHINICAL ELIMINATED.HAPA DUNIANI NI MZIGO TU!!!Sio kesi kaoe wazungu.Uone mziki wake ruksa kwenda kaoe hata bure
Achana na watu weusi
Amka mpendwa lakini maharii yangu kutoa tuzidi kujuana utaja cheka ufe, 😂😂Acha niammke nitafute hela thamani ipande ya mahari
Garab kma garab 😂Ndo imefanya kila mtu kwa sasa ni MC😀😀😀😀
MC wengine hata kuongea hawajui maskini wamo tu kulipia hela ili na yeye aonekane kaweka MC mwenye jina mjini.
📌📌📌UMASKINI NI LAAANAAAAA!!!!
MKILIPA HIZO HELA HAKIKISHENI MNAWAMILIKI MPAKA MIX THEIR NYASH!!!Bora umemjibu anadai kasoma academy
Ety wa kishua yaani Hawa dada zetu na baadhi ya wanaume uchwara wanaishi kwa kufuatilia celeb
Wakati wana maisha magumu kama mawe!
Maharii nshasema haizidi million piga ua....... Hataki asepe na huo muda atakuwa wapi mimba asipate ndo ataniambia kwann hashiki na we are sexing frequently
Ndo nitoe proposal dada huyu sijui jamaa anaona kutoa maharii nyingi ufahari
Mimi nikawafaidishe wazazi wake, wakati tunapaswa kujenga future ya wanetu na sisi wenyewe
huyo jamaa badala akang'oe watu meno yupo anajifanya na yeye MC😄😄😄Garab kma garab 😂
Nyie ndo wale msipopewa taarifa ya mwaliko wa mchango wa harusi mkaja kusikia unaemfahamu amefanya sherehe ya harusi mnaanza zile " oooh sijui jamaa alinionaje alihisi sitamchangia ndio maana hajaniambia" plus maneno kibao, mkipewa taarifa napo ndo mnakuja na maneno kibao kama hayo.Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.