Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Kabla ya kuwapotezea lazima tuwachane kwanza. Binafsi nachangia harusi za ndugu wa karibu tu, wengine hata sishtuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Kabla ya kuwapotezea lazima tuwachane kwanza. Binafsi nachangia harusi za ndugu wa karibu tu, wengine hata sishtuki
Haha ha no way. Wakubaliane wenyewe kitandani waje nisumbua mimi.Toa michango 😃
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Maisha ni kutegemeana.Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Wewe unataka wakae muda gani?Mbaya zaidi wanaomba michango alafu mwisho wa siku wanakaa kwenye ndoa wiki moja alafu wanaachana
That’s my principle, nimemsomea kwa nguvu my wife to be, yuko anafua huwa tunatofatiana kuhusu haya masherehe.Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
method ya hiyo michango haijustify huo mnyororo wa UCHUMI unaousemaUCHUMI WA SHEREHE UTAENDELEA KUSHAMIRI TU,
🤣🤣Ela zetu hizouyakute siku yanavunja kamati, yaani ni grand/royal part 😀
Wakati hela yote huliwa wanufaika NI ukumbi mapambo mc nk...wengine hubaki na madeniTusipowachangisha hela... tutapata wape mitaji yakuanzisha biashara zetu na familia zetu mpyaaa [emoji28][emoji28][emoji28]
maharusi pia huwa wanabaki na burden ya madeni, huu si ni ushirikina tu?Wakati hela yote huliwa wanufaika NI ukumbi mapambo mc nk...wengine hubaki na madeni
ATA kama ni wewe utaenda bila😹?!!!!!Qashy Lilith
Lamomy
BRAZA CHOGO
Nasikia hamuendi bila
👉 Bridal shower
👉 Kitchen party
👉 Single
👉 Engagement
👉Send off
Ila wanawake mko na shughuli wallah
Yupo jirani yangu ni mama mtu mzima 50yrs sasa! Kipindi anaolewa Mr akamwambia tukabariki ndoa yetu tuendelee na mishe zingneSitasahau sista angu aliolewa Mika Kama 8 huo nyuma mzee nkamwambia apande gari la kawaida...fedha zenyewe unategemea mchango ukimwaga hapa kawaida tu inakuwaje hapana...mi nkamwambia sitoomba MTU mchango mwenye shughuli aombe mwenyewe mchango kwa kila MTU anayehisi anatakiwa kumchangia...MTU unakuta NI ndugu yako hampigiani simu Wala kupeana habari akipata shughuli anatokea mamake ambaye NI mamako mkubwa au mdogo anaomba mchango wa shughuli ya Fulani...kwa Nini asije mwenyewe direct umwelwze Kama hawezi kuwalisha watu abebe mkewe akamlishe homu so kubughudhi watu..
Ndiyo Mimi sina mpango wa sherehe kubwa wala kutoa kadi za michangoATA kama ni wewe utaenda bila😹?!!!!!
Mkuu sasa unataka wenzako waliojiajiri wakale wapi?Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Kuomba michango ya harusi ambayo utaishi na mwenza wako ni uhuni kabisa.Ndoa siyo jambo la ghafla kama msiba/emergency. Jiandaeni.Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Na yote wanakuchagua mwenyekiti wakamatiNa kila kukicha harusi zinazidi kuwaka moto. Kuna mwezi nilijikuta nipo kwenye magroup 4 ya harusi. Nikasema hell No.
Binadamu kajaaliwa utashi.Watatafuta njia mbadala.Mkuu sasa unataka wenzako waliojiajiri wakale wapi?
Ma MC,wapiga picha na macatering
Huo unaitwa ni uchumi shirikishi
Acha vijana waoe bana,tutawachangia,nyie bakini na hela zenu za mawazo mjifungie ndani mle na familia zenuBinadamu kajaaliwa utashi.Watatafuta njia mbadala.