Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Daah mzee mbona kiingereza sana alafu unatokwa povu kwa kuambiwa uchangie elfu 30 ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
Acha watu washerehekee,pesa itumike,izunguke Watanzania wengine waliojiajiri nao wapate riziki

Usiwe mchoyo kiasi hiko Mzee,uzee wako utakua huna maana kama una akili kiduchu kiasi hiki ๐Ÿ˜
Mimi nilizaliwa kichaa sugu.Uwe mpole mkuu.
 
hawa vijana wanatumia occipital lobe ya brain(ubongo wa kichogoni) badala ya prefrontal cortex for critical thinking ๐Ÿ˜€
hawa vijana wanatumia occipital lobe ya brain(ubongo wa kichogoni) badala ya prefrontal cortex for critical thinking ๐Ÿ˜€
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWazee viingereza vingi kumbe mnapiga ukunga vijana wenu kuwapa kadi ya mchango wa harusi ๐Ÿ˜€he he hee

Yani nyie ndio mnafanya mpk doto magari anadharau wasomi,yani elfu 30 au 50 unakuja kulia nayo hapa jamii forum

Msomi na kiingereza chake kutokwa povu kwa elfu 30 ni fedheha
 
Kuna wenzio wenye uwezo wa kutoa,wewe kama hutaki si unabaki na hio 1000 yako.kwani huko ulipo hua wanakulazimisha ๐Ÿค 
hawajakatazwa, wanaotoa michango kama hiyo haimaanishi wako advanced ki-fikra au wako financially better, but it's their way of understanding, na kutaka social approval of heir presence.
 
Mwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?๐Ÿค“wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?๐Ÿ™†
Kabisa

Mtu kama huyo ndio unamkuta kundi lile la hata akiwa na shida akihitaji hata elfu 5 tu aweza zunguka mtaa mzima kijiji kixima kwa ndugu wote na majirani na marafiki hakuna wa kumpa sababu yeye sio mtu wa watu kwenye kuchangia .Hela yake haitoki na wao hawatoi .Watamwambia sina wakati wanazo kibao
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒWazee viingereza vingi kumbe mnapiga ukunga vijana wenu kuwapa kadi ya mchango wa harusi ๐Ÿ˜€he he hee

Yani nyie ndio mnafanya mpk doto magari anadharau wasomi,yani elfu 30 au 50 unakuja kulia nayo hapa jamii forum

Msomi na kiingereza chake kutokwa povu kwa elfu 30 ni fedheha
.. hata wewe utakuwa mshamba kwa eneo ambalo mimi nina spend fedha nyingi socially ou privately, so heshimu priority za watu, hiyo ni style yako ya maisha baki nayo
 
Kabisa

Mtu kama huyo ndio unamkuta kundi lile la hata akiwa na shida akihitaji hata elfu 5 tu aweza zunguka mtaa mzima kijiji kixima kwa ndugu wote na majirani na marafiki hakuna wa kumpa sababu yeye sio mtu wa watu kwenye kuchangia .Hela yake haitoki na wao hawatoi .Watamwambia sina wakati wanazo kibao
Michango ya harusi tunatoa kila mara kama family.Ninachotaka kuwaelekeza ni kwamba;harusi siyo dharula.Mjipange na msisumbue watu hadi kuchukiana kwa michango.Muwe waelewa ninyi vilema/wadumavu/tegemezi/wazembe.Kama mnakwama mtuambie baba zenu ili muishi na wake zenu kwenye maboma yetu tu.Nijue nina mke,watoto na ngedere walemavu wa TASAF.
 
hawajakatazwa, wanaotoa michango kama hiyo haimaanishi wako advanced ki-fikra au wako financially better, but it's their way of understanding, na kutaka social approval of heir presence.
Ndio utamaduni wetu Watanzania, kusapotiana kunapokua na jambo la kijamii
Nyie ambao fikra zenu zipo advanced nendeni ulaya mkaishi na wazungu huko

Nyie ndio wale wazee mliosoma sana lakini mmepauka,hua mna hasira na chuki kwa vijana nyie๐Ÿ˜€

Katafuteni jamii yenu mkaishi nayo kwa hizo akili mlizinazo
Hapa Tz tutaenda na utamaduni huu huu
Kudadeki
 
Mimi juzi kuna mtu kanitumia kadi ya mdogo wake wa kike send off. Binafsi hii michango huwa sichangii. Ugonjwa, misiba au mtaji wa biashara pekee ndiko ninakotoa pesa.
Safiiii Mkuu ... Una moyo mzuri sana!

Mimi naumwa njaa naomba mchango ๐Ÿฅฒ
 
Michango ya harusi tunatoa kila mara kama family.Ninachotaka kuwaelekeza ni kwamba;harusi siyo dharula.Mjipange na msisumbue watu hadi kuchukiana kwa michango.Muwe waelewa ninyi vilema/wadumavu/tegemezi/wazembe.Kama mnajwama mtuambie baba zenu ili muishi na wake zenu kwenye maboma yetu tu.Nijue nina mke,watoto na ngedere walemavu w TASAF.
I THANK U VERY MUCH, eti mwanume mzima ana kununia for years kwa sababu huku mchangia harusi yake, hii mijitu ni worse than imbeciles
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Kuchangisha kwa ajili ndoa ni Ushamba tu na ni ulimbukeni
 
Michango ya harusi tunatoa kila mara kama family.Ninachotaka kuwaelekeza ni kwamba;harusi siyo dharula.Mjipange na msisumbue watu hadi kuchukiana kwa michango.Muwe waelewa ninyi vilema/wadumavu/tegemezi/wazembe.Kama mnakwama mtuambie baba zenu ili muishi na wake zenu kwenye maboma yetu tu.Nijue nina mke,watoto na ngedere walemavu wa TASAF.
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hata sisi michango tunatoa sio wewe tu
Kama wewe ulisapotiwa ukatoka,kwa nini upige ukunga vijana wakisapotiwa?
Wazee wa siku hizi mna akili za nzige sijui ๐Ÿ˜ƒ
 
kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
Nadhani hapo neno public funds umelitumia vibaya mkuu, ungesema private funds badala yake. Hata hivyo nia yako, njema imeeleweka.
 
Kama hutaki kumsapoti mtu unakaa kimya tu,kwani amekulazimisha?au kakushikia panga umsapoti?
Hakuna cha support hapo, Kuna mtu unakuta hata huo hakupigii simu ya salamu na Wala hamna ukaribu wowote zaidi ya kufanya kazi kwenye taasisi moja, kitendo cha kutaka kutoa/kuolewa ghafla unakuwa mtu muhimu na WA karibu.
 
๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Hata sisi michango tunatoa sio wewe tu
Kama wewe ulisapotiwa ukatoka,kwa nini upige ukunga vijana wakisapotiwa?
Wazee wa siku hizi mna akili za nzige sijui ๐Ÿ˜ƒ
Mimi sikuchangiwa.Mama Wegesa ni shahidi.Nilioa kibabe.
 
Back
Top Bottom