Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Ndio utamaduni wetu Watanzania, kusapotiana kunapokua na jambo la kijamii
Nyie ambao fikra zenu zipo advanced nendeni ulaya mkaishi na wazungu huko

Nyie ndio wale wazee mliosoma sana lakini mmepauka,hua mna hasira na chuki kwa vijana nyie😀

Katafuteni jamii yenu mkaishi nayo kwa hizo akili mlizinazo
Hapa Tz tutaenda na utamaduni huu huu
Kudadeki
huo si utamaduni wa wa TANZANIA, ni hassling tu za wakandarasi wa harusi na sherehe mbalimbali
 
Kabisa

Mtu kama huyo ndio unamkuta kundi lile la hata akiwa na shida akihitaji hata elfu 5 tu aweza zunguka mtaa mzima kijiji kixima kwa ndugu wote na majirani na marafiki hakuna wa kumpa sababu yeye sio mtu wa watu kwenye kuchangia .Hela yake haitoki na wao hawatoi .Watamwambia sina wakati wanazo kibao
Inaelekea wazee wana njaa kali sana hawa 😃😃😃
Kupiga ukunga kwa kutoa elfu 30 au 50 ni laana 😀😀
Hawa ndio wale ofcn wamekaa muda mrefu,vijana wameajiriwa hivi karibuni wanawazidi maendeleo
Hua wabahili na wana visirani hawa
 
Mambo yao waachie wenyewe...

Cc: Mahondaw
Tuwaachiaje wakati hawaishi kutusumbua ni mikadi yao, mara message, mara wanakuunga tu kwenye magrup yao, mara tunanuniana ofisini.
Binafsi nishawatangazia wote wanaoniletea kadi kwamba naomba mwaliko wa harusi na sio kuchangia. Hutaki niache nitaalikwa na wasiochangisha kama ambavyo mimi sijui mchango wa mtu
 
Inaelekea wazee wana njaa kali sana hawa 😃😃😃
Kupiga ukunga kwa kutoa elfu 30 au 50 ni laana 😀😀
Hawa ndio wale ofcn wamekaa muda mrefu,vijana wameajiriwa hivi karibuni wanawazidi maendeleo
Hua wabahili na wana visirani hawa
Tunawakazia kama Trump ili mjifunze kujitegemea.Wehu ninyi.
 
Tuwaachiaje wakati hawaishi kutusumbua ni mikadi yao, mara message, mara wanakuunga tu kwenye magrup yao, mara tunanuniana ofisini.
Binafsi nishawatangazia wote wanaoniletea kadi kwamba naomba mwaliko wa harusi na sio kuchangia. Hutaki niache nitaalikwa na wasiochangisha kama ambavyo mimi sijui mchango wa mtu
Upo very "simati" muheshimiwa.
 
Unapiga kiingereza alafu kulia mitandaoni kwa ajili ya elfu 30 au 50 ni fedheha

Doto magari ataendelea kudharau wasomi kila kukicha
Tunawafundisha namna ya kujisimamia mambo yenu mnatuona tuna roho mubaya?Hebu shitukeni vijana.
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Sawa Baba....Naona umeiva uchumi kama Trump,Ni ukwl mtupu ambao unahitaji jicho la Mbali kuelewa
 
Back
Top Bottom