Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

Muwe mnajiandaa.Mkinitumia sms za kihuni kudai michango naamsha kichaa.Sijamaliza ada za wajukuu wangu.
Kwani wamekushikia panga lazima utoe hio pesa yako uwape?na kwani utawapa mamilioni kiasi kwamba upatwe na kichaa?zaidi ya hio elfu 50 au 30 ya mawazo 🤓

Nenda kailipie ada za watoto wako
 
Wawe wapole.Mwenzi ni wako na mna muda wa kujiandaa.Mimi mnialike nije kunywa maji na kuleta zawadi siyo mchango.
Huko ulipo wanakushikia bunduki utoe hio elfu 30 au 50 yako?ukitaka wape mchango,usipotaka usiwape

Nenda kanunulie watoto wako viatu vya shule au ule na familia

Mtu mzima kuja hapa kulia lia mitandaoni kisa elfu 30 au 50 ni ushamba wazee
 
kuchangisha harusi nje ya family members hiyo ni irresponsible behavior, it amounts to a FRAUD, pia ni ni ushamba, how can you raise public funds for your simple personal obligation, this culture IS DISGUSTING
Alafu ndani ya miaka michache ndoa yenyewe inakufa hadi mtu aliechanga anasikitika kwa kuona pesa yake imeenda bure!!
 
Huko ulipo wanakushikia bunduki utoe hio elfu 30 au 50 yako?ukitaka wape mchango,usipotaka usiwape

Nenda kanunulie watoto wako viatu vya shule au ule na familia

Mtu mzima kuja hapa kulia lia mitandaoni kisa elfu 30 au 50 ni ushamba wazee
Kitu unachoita "ushamba" ndicho nakufundisha ujue kujitegemea kwenye mambo yako.Yani unataka tukununulie utamu wewe uwe mpigaji tu.Nooo!Jifunze kujitafutia vya kwako.Ndiyo ninyi mnaoa halafu mnataka kuishi kwangu nikutunzie na mkeo kwa udumavu wenu wa akili.Kama mnashindwa kujiandaa mbaki nyumbani msaidiane na mama zenu kutwanga mahindi.Huwa sina maneno matamu mkuu.
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Tafuta hela wewe kama ndoa tu tukio.la siku moja unaona .gharama na kuogopa madeni je kuishi na mke maisha yote ?
utaweza? Nenda kawe padri kanisa katoliki huko ndoa na gharama zake waachie wawezayo mambo hayo

Lofa hatakiwi kuoa kabisa atafute hela kwanza.Ndio maana watu mahari hupanga kama practical nterview ya kuangalia uwezo wa mahari anao huyu bwana harusi kumpima kama ana hela za kutunza huyo mkewe mtarajiwa ?

Lengo baadaye Asije sumbua wazazi au wakwe wawalishe huko kwao

Kuchangishana ni kuonyesha je wewe ni mtu wa watu au gaidi? Una majirani ,wafanyakazi wenzio,ndugu,marafiki nk mnaojaliana kwa shida na raha au wewe jambazi tu au mwanga linaloishi kwa kujifungia ndani kama mwanga? Kuwa hata ukivamiwa na majambazi mtaani hakuna wa kutoka sababu wewe unaishi self contained chooni kwako na vimaishi vya kisirisiri usije chinja mtoto wao mkigombana na ndugu na majirani na marafiki nk wasijue

Wanaochangisha sio maskini wengine wana pesa hatari wangeweza tu alika watu bila kuchangisha hata mia

Lakini huko mitaani na vijijini usipochangisha watu wanasema unataka kuwalisha vyakula vya kafara ndio maanda huchangishi hawaji .Kuwa umepewa masharti na waganga wako kuwa wale chako tu

Haya mambo wewe kama huyawezi nafasi za upadri katoliki ziko wazi nenda huko badala ya kuja ni vimisimamo vyako vya kijinga jinga humu
 
Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani.
Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani.
Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako. Mchangishane wana familia, hiyo ndio heshima na busara. Marafiki mutualike tu, kwakuwa tunajua mnaanza maisha hatutakuja mikono mitupu. Pesa mtapata ambazo mtafungulia biashara au kuanza ujenzi. Vyombo mtapata pia.
Hii ya kukabana michango mwisho wa siku ikipatikana millioni 20 yote wanakula ma MC, wapambaji, catering, wapiga picha nyie mnabakiwa na laki 6 .
Hakuna zawadi ya maana rafiki au workmate alitetoa mchango atakuletea.
Sherehe utaiandaa kulingana na kiasi cha fedha. Wengine wameanza maisha ya ndoa kwa mkosi wa madeni .
Hiyo ndoa itajaa madeni, madeni, madeni mpaka ivunjike.
Kwa mwanamke yupi hawa kina mis natafuta?
 
kushamiri, maana yake ndoa zitaendelea kufungwa regardless ya kupungua kwa hiyo michango ya kijinga, mbona majority they do without that hizo parasitic and corrupt arrangement
Ukiwa maskini wa hela ,maskini wa mahusiano na ndugu,marafiki majirani nk.lazima uwe na vimisimamo vya kijinga kama huu ulioandika
 
Kitu unachoita "ushamba" ndicho nakufundisha ujue kujitegemea kwenye mambo yako.Yani unataka tukununulie utamu wewe uwe mpigaji tu.Nooo!Jifunze kujitafutia vya kwako.Ndiyo ninyi mnaoa halafu mnataka kuishi kwangu nikutunzie na mkeo kwa udumavu wenu wa akili.Kama mnashindwa kujiandaa mbaki nyumbani msaidiane na mama zenu kutwanga mahindi.Huwa sina maneno matamu mkuu.
Mwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?🤓wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?🙆

Inaelekea una njaa kali sana jamaa,ungekua una chochote kitu huwezi toka povu hivi kwa elfu 30 au 50
Ni bora umfuate umuambie tu huna😄

Ndoa na gharama zake waachie Wenye mambo yao,wewe pesa yako kanywee bia tu au kanenepeshe malaya 😇
watu wataendelea kufanya mambo yao na yataenda bila hio elfu 30 yako Mkuu.
 
Mwanaume unalia kisa mdau wako kukutaka utoe kwa hiari na si kulazimishwa elfu 30 au 50?🤓wewe siku ukitoa laki si utapiga ukunga?🙆

Inaelekea una njaa kali sana jamaa,ungekua una chochote kitu huwezi toka povu hivi kwa elfu 30 au 50
Ni bora umfuate umuambie tu huna

Ndoa na gharama zake waachie Wenye mambo yao,wewe pesa yako kanywee bia tu 😇

Vijana wa 90's to 2000s have got some probs!Nimekueleza kwa wema bado unaandika mambo kilemavu.I've got nothing to help the lunatic!
 
hata ingekuwa 1000/- hizo ni scam tu, remember you become financially secure by serving not earning and misusing own funds just to impress people like u
 
Daah mzee mbona kiingereza sana alafu unatokwa povu kwa kuambiwa uchangie elfu 30 😄😄
Acha watu washerehekee,pesa itumike,izunguke Watanzania wengine waliojiajiri nao wapate riziki

Usiwe mchoyo kiasi hiko Mzee,uzee wako utakua huna maana kama una akili kiduchu kiasi hiki 😝
 
hata ingekuwa 1000/- hizo ni scam tu, remember you become financially secure by serving not earning and misusing own funds just to impress people like u
Kuna wenzio wenye uwezo wa kutoa,wewe kama hutaki si unabaki na hio 1000 yako.kwani huko ulipo hua wanakulazimisha 🤠
 
Back
Top Bottom