Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume kamili hapaswi kuomba msamaha aiseee....🤨Tena nafuu wanawake wanaume je?😂😂
Hivyo ndivyo mie najua sasa mtoa mada kaongelea kinyumeMwanaume kamili hapaswi kuomba msamaha aiseee....🤨
Badala yake, mwanaume anapaswa kufanya mambo ama matendo yatakayo jieleza kwamba kweli alikosea..😊
Kuna mmoja tunasumbuana aisee. Miez iliyopita nilitembelea mkoa aliopo taarifa nilimpa ajabu akajibu hatutaonana, nikawa ndani ya mkoa aliopo kwa mwezi mzima sasa ikawa nabembeleza kupata utelezi akawa kaweka ngumu. Ok nikarudi zangu mkoa wangu miez ikaenda nikarudi tena mkoa aliopo akagoma tena ile ile. Nikasema kuna mwamba anakamua isiwe shida. Masiku yakaenda kiasi chake duh katikati hapo ananitafuta eti amepata matatizo nikamjulie hali nk kiurahisi tu yaani. Niliwaza nikachomoa mazima, rafiki yake akabembeleza wee ila nikamwambia kinagaubaha akaelewa na akamchana mwenzie. Sahivi nimekaa tu kimyaaaaaAkijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Anza kujifunza kutokutoa machozi wakati wa kuomba msamaha, maana sisi wanaume tunapenda mwanamke mpole, mnyenyekevu na anaetoa strong reasons wakati akiomba msamaha.Mimi kama kweli nimefanya kosa ninaomba msamaha tena hadi chozi.
Ila sio mimi naona nipo sahihi wewe unaona ni kosa halafu niombe msamaha. Siombi ng’oo tena na kukununia nakununia.
Anza kujifunza kutokutoa machozi wakati wa kuomba msamaha, maana sisi wanaume tunapenda mwanamke mpole, mnyenyekevu na anaetoa strong reasons wakati akiomba msamaha.
Wanaume wengi tunaamini wanawake huyatumia machozi yao kama silaha ili wahurumiwe.
umemalizaKuomba msamaha kwa mwanamke inategemea na wewe huwa unaombaje msamaha pindi ukikosea?
Kuombana msamaha mimi na kaka mzuri sio shida zetu.
Jirani, minafikiri niwakati sahihi sasa kuanza kuwafundisha watoto wetu namna ya kuanza kua accountable, na hii itawafanya kua loyal and honest by themselvesJamii yetu haijalelewa kuwa accountable, tatizo lilianzia hapa. Mojawapo ya nguzo za accountability ni ku apologize. Hili ni tatizo la kijamii.
Kwahiyo: tunakutana nalo kwenye mahusiano, familia, siasa, makazini na kwingineko. Ulishawahi ona Kwenye daladala mtu amemkanyaga mwenzie na hataki kusema samahani hadi unazuka ugomvi mkubwa? Kuna maneno ya kijinga tunaishi nayo, oh mara mzazi hakosei, sijui kiongozi hakosei na blah blah zingine.
Hili sio suala la wanawake pekee, sasa sijajua sisi wanawake ambao hatuombi msamaha tutaleaje watoto ambao tunapaswa kuwafundisha kuomba msamaha, A question for another day.
Umenen vyema, accountability ni zero kabisa.Jamii yetu haijalelewa kuwa accountable, tatizo lilianzia hapa. Mojawapo ya nguzo za accountability ni ku apologize. Hili ni tatizo la kijamii.
Kwahiyo: tunakutana nalo kwenye mahusiano, familia, siasa, makazini na kwingineko. Ulishawahi ona Kwenye daladala mtu amemkanyaga mwenzie na hataki kusema samahani hadi unazuka ugomvi mkubwa? Kuna maneno ya kijinga tunaishi nayo, oh mara mzazi hakosei, sijui kiongozi hakosei na blah blah zingine.
Hili sio suala la wanawake pekee, sasa sijajua sisi wanawake ambao hatuombi msamaha tutaleaje watoto ambao tunapaswa kuwafundisha kuomba msamaha, A question for another day.
Wewe ndio mtoto, kuna matizo yanatakiwa muyasolve kwa kuangalia mzizi.Mwanamke akikukosea na akigundua lazima akuombe msamaha kwa kukufungulia mapaja yake na siyo vinginevyo.
Kumlazimisha akuombe kwa maneno ni dalili za kitoto.