Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

Mungu ni mwema silaha ya machozi inafanya vizuri sana kwa mume wangu yaani nikianza kuyatiririsha tu utasikia “basi beb usilie yameisha”
Mume wako inaonekana haudhurii vikao vya wanaume au akiudhuria anakaa nyuma kabisa kalewa na ana sinzia.

Jocking.....
 
Wewe ndio mtoto, kuna matizo yanatakiwa muyasolve kwa kuangalia mzizi.

Mambo ya kufukia visiki bila kuving'a ndo vinakuja kuota tena.
Akisha fungua mapaja unaendeleza kosa lilipo ishia na kumsusa au unaanza kutoa maelekezo na muongozo upya wa ulichokua unataka akitekeleze kwa usahihi na kwa kumkazia macho makali?

Kama hufanyi hayo mimi na wewe mtoto nani?
 
ASANTE, POLE na SAMAHANI hutukuza mtu hivyo wengi wenye ego hushindwa kuzitamka ila ndo hudumisha mahusiano yoyote yale,
 
Jamii yetu haijalelewa kuwa accountable, tatizo lilianzia hapa. Mojawapo ya nguzo za accountability ni ku apologize. Hili ni tatizo la kijamii.

Kwahiyo: tunakutana nalo kwenye mahusiano, familia, siasa, makazini na kwingineko. Ulishawahi ona Kwenye daladala mtu amemkanyaga mwenzie na hataki kusema samahani hadi unazuka ugomvi mkubwa? Kuna maneno ya kijinga tunaishi nayo, oh mara mzazi hakosei, sijui kiongozi hakosei na blah blah zingine.

Hili sio suala la wanawake pekee, sasa sijajua sisi wanawake ambao hatuombi msamaha tutaleaje watoto ambao tunapaswa kuwafundisha kuomba msamaha, A question for another day.
Aisee.
Nimependa ulichoandika
Malezi ni tatizo
mukosaji na mkoseaji Mara nyingi hatujui namna ya kutatua matatizo kwa njia ya amani kila upande unakuwa na nafasi ya kujihesabia haki. Hili ni tatizo kubwa sana.

Nimependa koment yako
 
Bakora zilikua zinaleta amani na upendo nyumbani kwa wahenga. Lakini uwe mwanaume na nyumba umeikamata vizuri sio ulevi na vituko nyumbani
 
Siwezi kudumu na mwanamke ambae sio mtiifu, asieye mnyenyekevu, asie na wepesi wa kukiri kosa kugundua kosa, kuamini amekosea kujutia kukosea. Kinywa kilichokosa samahani kina ujeuri, kiburi na dharau.
 
Sijawahi jutia kuomba msamaha hata pale nikiona nipo sahihi lakini napingwa huwa naomba msamaha na nabaki na amani yangu vzr sana
 
Kama kweli nimefanya nitaomba msamaha vinginevyo atausikia kwa torchi...
 
Aisee.
Nimependa ulichoandika
Malezi ni tatizo
mukosaji na mkoseaji Mara nyingi hatujui namna ya kutatua matatizo kwa njia ya amani kila upande unakuwa na nafasi ya kujihesabia haki. Hili ni tatizo kubwa sana.

Nimependa koment yako
Asante sana.
 
Akijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.

Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Ni bora awe dem lakini si Mke...ukikutana na Mke wa hivyo utakoma
 
Back
Top Bottom