Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Mume wako inaonekana haudhurii vikao vya wanaume au akiudhuria anakaa nyuma kabisa kalewa na ana sinzia.Mungu ni mwema silaha ya machozi inafanya vizuri sana kwa mume wangu yaani nikianza kuyatiririsha tu utasikia “basi beb usilie yameisha”
Akisha fungua mapaja unaendeleza kosa lilipo ishia na kumsusa au unaanza kutoa maelekezo na muongozo upya wa ulichokua unataka akitekeleze kwa usahihi na kwa kumkazia macho makali?Wewe ndio mtoto, kuna matizo yanatakiwa muyasolve kwa kuangalia mzizi.
Mambo ya kufukia visiki bila kuving'a ndo vinakuja kuota tena.
Mume wako inaonekana haudhurii vikao vya wanaume au akiudhuria anakaa nyuma kabisa kalewa na ana sinzia.
Jocking.....
Aisee.Jamii yetu haijalelewa kuwa accountable, tatizo lilianzia hapa. Mojawapo ya nguzo za accountability ni ku apologize. Hili ni tatizo la kijamii.
Kwahiyo: tunakutana nalo kwenye mahusiano, familia, siasa, makazini na kwingineko. Ulishawahi ona Kwenye daladala mtu amemkanyaga mwenzie na hataki kusema samahani hadi unazuka ugomvi mkubwa? Kuna maneno ya kijinga tunaishi nayo, oh mara mzazi hakosei, sijui kiongozi hakosei na blah blah zingine.
Hili sio suala la wanawake pekee, sasa sijajua sisi wanawake ambao hatuombi msamaha tutaleaje watoto ambao tunapaswa kuwafundisha kuomba msamaha, A question for another day.
Marufuku kukubali kosa,ni mwiko.Tena nafuu wanawake wanaume je?[emoji23][emoji23]
Asante sana.Aisee.
Nimependa ulichoandika
Malezi ni tatizo
mukosaji na mkoseaji Mara nyingi hatujui namna ya kutatua matatizo kwa njia ya amani kila upande unakuwa na nafasi ya kujihesabia haki. Hili ni tatizo kubwa sana.
Nimependa koment yako
Ni bora awe dem lakini si Mke...ukikutana na Mke wa hivyo utakomaAkijitahidi sana kuomba msamaha utasikia
"Sawa basi nimekosa"
"Aya basi nisamehe" hapo ni baada ya kumbana kona zote na ameona hamna pa ku excuse.
Kwanini? Kwanini inakua shida kukubali kukosea na kuomba msamaha genuinely?
Unashangaza sanaMwanamke akikukosea na akigundua lazima akuombe msamaha kwa kukufungulia mapaja yake na siyo vinginevyo.
Kumlazimisha akuombe kwa maneno ni dalili za kitoto.