Kuombwa talaka gerezani

Kuombwa talaka gerezani

Huyo Mama sijui ataweka wapi sura yake.ila Bora hakuzini
huyo mwanamke wakati anaenda kuomba talaka kwa mumewe mwaka mmoja kabla hajaachiwa huru na mumewe karudi uraiani kamkuta tiyari ana mtoto ni wazi kwamba mwanamke tiyari alishazini muda mrefu na akawa na mtoto. talaka ilikuwa tu ya kuhalalisha uzinzi uliokwishafanyika kabla
 
Back
Top Bottom