Humorous Junior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 1,598
- 1,410
HAKUNA CHA UZOEFU ILA NDIYO UKWELISahihi kabisa. Maana upande wa pili angekuwa ni mwanamke yuko ndani, basi sheikh angeshaoa mwingine [nasema kwa uzoefu kama mwanaume].
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAKUNA CHA UZOEFU ILA NDIYO UKWELISahihi kabisa. Maana upande wa pili angekuwa ni mwanamke yuko ndani, basi sheikh angeshaoa mwingine [nasema kwa uzoefu kama mwanaume].
Hapana, kwani hii itawafanya wanaume wakimbie majukumu makusudi kwa kufanya makosa ili wakafungwe wakimbie majukumu yao nyumbani. Akiwa gerezani atakuwa hana majukumu yoyote, atakuwa anakaa tu kusubiri mkewe ama changudoa wake aje ampige miti kisha akajisifie kwa washikaji wake wakiwa wanakula ugali na maharage ya kuoza.Ni wakat Sasa magereza yetu kuweka utaratibu wa kukutana kimwili walau Mara moja kwa mwezi na mke au mume
Hata Kama angeacha mali uraiani lazima wangemgegedea tu miaka nane n mingi Sana
Mbaya zaidi usikie mke kaolewa na best yako..Kwa kweli. Maana hayo ni maumivu makubwa kuliko ya kukaa ndani miaka hiyo.
Hii nchi ilipelekwa kubaya sanaMashitaka 14 halafu leo dpp ameona yaishe daa
Ilikua zaman lkn siku hiz wachache mno wanaotenganishwa na kifo.Kwa imani yao sawa, lakini kwa sisi wakristo kiapo ni mpaka kifo kiwatenganishe, sio gereza hata
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ilikua zaman lkn siku hiz wachache mno wanaotenganishwa na kifo
Wengine wanafanya km bongo muvi wanaendelea na utambulisho wa ndoa lkn ndoa yenyewe hakuna inabak kwenye makaratas tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wanajitenganisha wenyewe?
Sheria yeyote inayoendana kinyume na asili/hulka ya mwanadamu huwa ni ngumu kudumu. Hii watu hadi kifo kiwatenganishe ni ngumu sana.Wengine wanafanya km bongo muvi wanaendelea na utambulisho wa ndoa lkn ndoa yenyewe hakuna inabak kwenye makaratas tu
Hii ya ndoa kufa (kutofanya tendo la ndoa) na kutohudumiana kihisia ilikuwepo tangu zamani sana, isipokuwa zamani walikuwa hawapigi kelele sana kama siku hizi...Wengine wanafanya km bongo muvi wanaendelea na utambulisho wa ndoa lkn ndoa yenyewe hakuna inabak kwenye makaratas tu
Na kelele zinasababishwa na taarifa kuvuja unakuta mwanaume anatoka na rafik wa mke wake wa makaratas au mwanamke anatoka na rafik wa mumewe hapo ndipo uvumilivu unapoisha na kelele zinapoanza lkn wazee wetu walikua wanajificha sana uhun wanafanyia mbali na nyumbaniHii ya ndoa kufa (kutofanya tendo la ndoa) na kutohudumiana kihisia ilikuwepo tangu zamani sana, isipokuwa zamani walikuwa hawapigi kelele sana kama siku hizi...
Kweli kabisa!Ndo maisha ya dunian kuna hili na lile
Nitawasalimu mkuuKweli kabisa!
Salaam kwa woote wa nyumbani mwako
Ila jitahidi usijetoa/pokea talaka kizembe...komaa naye to the end yaaniNitawasalimu mkuu
Mungu anisaidie maana nakata tamaa.Ila jitahidi usijetoa/pokea talaka kizembe...komaa naye to the end yaani
Kwamba wife apande boti kuja segerea kila mwezi, ili kumletea kitobo SHEKH? [emoji16]Ni wakat Sasa magereza yetu kuweka utaratibu wa kukutana kimwili walau Mara moja kwa mwezi na mke au mume
Hata Kama angeacha mali uraiani lazima wangemgegedea tu miaka nane n mingi Sana