Kuombwa talaka gerezani

Kuombwa talaka gerezani

Ni wakat Sasa magereza yetu kuweka utaratibu wa kukutana kimwili walau Mara moja kwa mwezi na mke au mume

Hata Kama angeacha mali uraiani lazima wangemgegedea tu miaka nane n mingi Sana
Hapana, kwani hii itawafanya wanaume wakimbie majukumu makusudi kwa kufanya makosa ili wakafungwe wakimbie majukumu yao nyumbani. Akiwa gerezani atakuwa hana majukumu yoyote, atakuwa anakaa tu kusubiri mkewe ama changudoa wake aje ampige miti kisha akajisifie kwa washikaji wake wakiwa wanakula ugali na maharage ya kuoza.
 
Kama kweli walihusika kwenye yale matukio basi hiyo ni sehemu ya malipo,
Na kama walionewa basi mwenyezi Mungu awatilie wepesi katika maisha yao mapya
 
Wengine wanafanya km bongo muvi wanaendelea na utambulisho wa ndoa lkn ndoa yenyewe hakuna inabak kwenye makaratas tu
Sheria yeyote inayoendana kinyume na asili/hulka ya mwanadamu huwa ni ngumu kudumu. Hii watu hadi kifo kiwatenganishe ni ngumu sana.
 
Hii ya ndoa kufa (kutofanya tendo la ndoa) na kutohudumiana kihisia ilikuwepo tangu zamani sana, isipokuwa zamani walikuwa hawapigi kelele sana kama siku hizi...
Na kelele zinasababishwa na taarifa kuvuja unakuta mwanaume anatoka na rafik wa mke wake wa makaratas au mwanamke anatoka na rafik wa mumewe hapo ndipo uvumilivu unapoisha na kelele zinapoanza lkn wazee wetu walikua wanajificha sana uhun wanafanyia mbali na nyumbani
 
Ni wakat Sasa magereza yetu kuweka utaratibu wa kukutana kimwili walau Mara moja kwa mwezi na mke au mume

Hata Kama angeacha mali uraiani lazima wangemgegedea tu miaka nane n mingi Sana
Kwamba wife apande boti kuja segerea kila mwezi, ili kumletea kitobo SHEKH? [emoji16]
 
Back
Top Bottom