Kuondoa Tozo kwenye Mabenki huku mkiacha kweye Miamala ya Simu, ni unyonyaji

Pumbavu wewe acha kutuita majitu ya vijijini, acha dharau kwa kukaa mjini. Toa hoja kwa kuheshimu ambao hatujakukosea.
Technically majitu ya Vijijini akili hamna ndio maana nyie mnafanywa kuwa condom mnatumiwa kunenepesha matumbo ya mabwanyenye wa mjini na mnachekelea..

Na bado kwenye mazao mtaendelea kupangiwa Bei kwa faida ya wa mjini na huduma hampati ila umaskini utakuwa jadi yenu daima..
 
Tozo za bank zimeondolewa lini, leo tu nimepokea meseji ya makato kwenye account yangu, nimeuliza bank wanasema hawajapokea waraka wowote wa kusitisha kukata tozo, nchi ngumu hii jamani
Mpaka tarehe 1 October
 
Tozo za bank zimeondolewa lini, leo tu nimepokea meseji ya makato kwenye account yangu, nimeuliza bank wanasema hawajapokea waraka wowote wa kusitisha kukata tozo, nchi ngumu hii jamani
Mpaka October 1 ndio utekelezaji unaanza
 
Ndo maana nikasema awali anachofanya madelu ni kupiga porojo, hana jipya...
 
Tozo za bank zimeondolewa lini, leo tu nimepokea meseji ya makato kwenye account yangu, nimeuliza bank wanasema hawajapokea waraka wowote wa kusitisha kukata tozo, nchi ngumu hii jamani
Una akili yenye uwezo mdogo sana kama unayo, sijui ni ram ngapi tu….. tozo kuondoshwa leo tu utarajie utekelezaji kuanza leo?
 
Tozo za bank zimeondolewa lini, leo tu nimepokea meseji ya makato kwenye account yangu, nimeuliza bank wanasema hawajapokea waraka wowote wa kusitisha kukata tozo, nchi ngumu hii jamani
Hadi October 1
 
Hadi 1 oktoba 2022
 
Your theory is irrelevant
 
Mbona tozo za kutoa hela kweye ATM na over the counter zimebaki? Huu ni usanii mtupu wananchi wangapi wanatransfer hela? Tumepigwa hamna kitu hapo
 
Hili taifa halina kiongozi ndio maana kina Mwigulu wanajiamulia watakavyo.
 
Nashauri.wawe pia wanaweka na makato yatakuaje ili kusud mtu anapofanya ajue.kujihamishia kutoka ac kwend line bei gan
Hawawezi kuweka kuogopa kupoteza wateja wakishajua ivyo, ndio maana wahindi wapo makini sana na nchi zetu za dunia ya tatu wanaweka ktk benk zao na sio wahindi wote ufanya ivyo

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wewe mafia sana wa financial services industry

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
unataka dezo? Hutaki kuwajibika ila unataka ujengewe barabara nzuri. Ukitaka dezo nenda Mombasa. Jinga kweli mwanaume mzima hutaki kuwajibika ndio maana mnaolewa, ni kulalamika kila kitu. Kalipe kodi.
 
Nina mashakha na uelewa wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…