chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina