Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

Kuondoka kwa Ally Kamwe kwahusishwa na mambo ya ushirikina mkubwa sana ulioanza kutokea ndani ya idara hivi karibuni

Wakati mwingine hakuna cha ushirikina Wala nn rejea mahubiri ya Mchungaji Hananja alivyokuwa akitoa ushuhuda juu ya kiwanja cha jirani yake kutaka kukinunua ambapo jirani yake alikuwa hataki kumuuzia alianza kumfanyia fitina za kichawi mara achinje kuku mara kuku apakwe rangi,mwisho wa siku jamaa Alikubali yaishe.Ali Komwe angekomaa tuu,na sio kukimbia
 
Daaaahh!!! Bora akimbie, maana sijui hata kama ana mtoto wa kuacha kumbukumbu, yule mzee hana kazi, na kajipanga afie Yanga.

Akianza kupigwa vyombo vya kwa Msisi, Pangani, Kigoma, na Sumbawanga, itakuwa hatari sana
 
Hizi tetesi tu, inasemekana mauza uza yamekuwa mengi ndani ya club siku chache zilizopita. Njiwa wamekuwa wakionekana ndani ya ofisi ya idara japo madirisha na milango imefungwa. Bundi, na wakati mwingine kuku imechinjwa halafu inakutwa ndani ya meza ya Ally pamoja na madawa ya kishirikina
Umenaswa tena kama mlivyonaswa kwa Aziz K
 
Hii inaonekana ni Kiki tu, maana dogo kaandika Muda wake umetamatika maana yake mkataba umefikia ukomo kwahiyo ata Renew mkataba.

Alafu cha kujiuliza kwanini atangaze mara baada ya Yanga kushinda hiyo mechi?

Jamaa wanatafta namna ya kuikikisha hii wiki ya Mwananchi tu, utasikia kasaini mkataba katikati ya wiki
Uko sahihi
 
uyo Juma Hayo nae atajuta.
images (1).jpeg
 
Mbona wengi wa wandishi wa habari wa tz weupe sana kichwani? Tatizo ni vyuo au?
-Kujibwetesha
-Kutopenda kazi yao
-Kutokuwa na umakini
-Kutopenda kujifunza zaidi na kuiga mazuri
-Kufanya kazi kwa mazoea tu
-Kuogopa watu/wakubwa
-Kufanya kazi kwa maelekezo na mipaka
-Ushabiki usiofuata weledi.
 
Back
Top Bottom